Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
General statement but ushindani ni mkubwa. Lissu amevuta watu wengi kwake ambayo ni advantage. Kuna watu hawatapiga kura wengine ni wale ambao wangepigia ccm.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Wewe siku hizi umeishiwa upeo sijui ni njaa kali au bado unawaza mtukufu atakuja kukupa kacheo endapo atafanikiwa kurejea ikulu kwa wizi wa kuraNaunga mkono hoja, never on earth Lissu anaweza kushinda!.
P
Hasa Paskal mayala maana ana njaa kweli kweliNikionacho
Ikatokea TL akatangazwa mshindi uchaguzi huu...
basi kuna watu bila kutarajia walikuwa upande gani watashangilia... tena kwa shangwe kubwa mno
Siyo watanzania wa sasa labda watanzania wale wa zamani hawa wa sasa wameichoka ccm hawataki kuiona tenaMkuu Tundu hawajui watanzania😁
Watanzania ukiwajua utaishi kwa raha sana wana upendo sana, wana huruma, wana mshikamano, watakufanyia chochote bila hata malipo mradi uwadharau.
Kitendo cha Tundu kuwaambia watanzania hawajui kiingereza tuu lilikua tusi
Kitendo cha Tundu kujirekodi kwa kiingereza na kumtumia Amstadam nalo tusi
Kitendo cha Tundu kutukana watendaji wa vyombo vya serikali Hilo ni tusi
Na mengine mengiii..... watanzania ndio wale wakuitwa wajumbe. Muulizeni Mpoki, Zamaradi na Steve
Magufuli anawajua watanzania na watanzania wanamjua hata mumpake matope watamsafishaa
Subiri bado siku2 utathibitisha😁Siyo watanzania wa sasa labda watanzania wale wa zamani hawa wa sasa wameichoka ccm hawataki kuiona tena
Sasa kwanini usimshauri uyo chizi afanye open election Kama iyi 20% hatoipataexpect less than 20% for lissu, on an open election
Ushindi wa lissu ni mkubwa ...it is always the economy which will make a big decisive milestone, hali ya uchumi ya watanzania jj mbaya, maji hakuna, umeme wa shidahaluna shiraz uwekezaji wa kampuni ya nje hakuna kabisa, uonevu wa wafanya biashara na tra ni mkubwa sana, helena hali kwenye nchi yao....watanzania wamechoka...Naunga mkono hoja, never on earth Lissu anaweza kushinda!.
P
Akili ndogo mtaji wa CCMRais Magufuli atashinda kwa kishindo matusi ya lissu yamewakasirisha Watanzania
October 28 tunaenda kumfundisha msaliti wa Nchi adabu
Sasa kwanini usimshauri uyo chizi afanye open election Kama iyi 20% hatoipata
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wishful thinking!Naunga mkono hoja, never on earth Lissu anaweza kushinda!.
P
Mkuu Ushuzi1Siyo watanzania wa sasa labda watanzania wale wa zamani hawa wa sasa wameichoka ccm hawataki kuiona tena
Kweli kabisa kaka PascalNaunga mkono hoja, never on earth Lissu anaweza kushinda!
Kura halali na zitakuwa wazi mchana kweupe Wala hakuna wiziMagufuli atashinda kwa kutumia udanganyifu na vyombo vya dola,lkn sio kura halali za watanzania walio na njaa ilioletwa na huyu mpigaji