[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]tundu lisu siyo mnafikiMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Wakati wa magufuli alipoamua kupeleka miradi chato wananchi walisema anapendelea kwao.Maswali ya wananchi ni mepesi sana, wanataka kujua hizo neema atakazoleta mwarabu wazanzibari wao hawazihitaji?
Believe me, hakuna atakae zingatia huo ujinga ulio andika hapo...Magufuli alisaini mkataba kusamehe usd 191 billion na kukubali kishika uchumba cha usd 300 million.
..mkataba kati ya Magufuli na Barrick ulikuwa mbaya na kutukandamiza Watanganyika.
Amesema point nzuri na ya kweli, lakini huyu jamaa ni kilaza sana tu, anakumbuka shuka wakati kumekucha!Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
MtanikumbukaKibao kimegeuka.
Mbagala charambe-mwenge.
Inakua G-mboto tegeta.
Tuendelee kunywa supu nyama ziko chini😁
Unajua kabanga nickel ilianza kuchimba Mwaka Gani mkuu ? Magufuri kasaidia sana suala la Kabanga Nickel maana walicheza sana na huo mgodi awamu zilizomtangulia mpka basi watu wanachimba na kukimbia wakidai hawapati kituMuulize mgodi wa Kabanga walipewa watanzania kipindi chake?
Kabanga nickel magufuri kasaidia,,mikataba unaanza na serikali ikiwa na hisa asilimia 16 wakati migodi mwingine ilikuwa asilimia 3Unajua kabanga nickel ilianza kuchimba Mwaka Gani mkuu ? Magufuri kasaidia sana suala la Kabanga Nickel maana walicheza sana na huo mgodi awamu zilizomtangulia mpka basi watu wanachimba na kukimbia wakidai hawapati kitu
17 mach 2021, Tanzania ilipoteza kiongozi shupavu mpenda nchi na mlinda rasilimali za nchi kwa akili zake zote na kwa nguvu zake zote!
[emoji24]Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! na anga lote na kuanzia airport hadi bandarini.
Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!amesema Tundu Lisu
Genius muuwaji.Lissu anataka kusema JPM alikuwa genius lkn anaogopa
Mbona wwe hajakuwa!!?? Au unaishi sana kwa hearsay!!??Genius muuwaji.