Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]tundu lisu siyo mnafiki
 
Maswali ya wananchi ni mepesi sana, wanataka kujua hizo neema atakazoleta mwarabu wazanzibari wao hawazihitaji?
Wakati wa magufuli alipoamua kupeleka miradi chato wananchi walisema anapendelea kwao.

Samia angepeleka mradi huu znz wananchi wangesema anapendelea kwao.

Samia kuamua kupeleka mradi huu kwa watanganyika, wananchi hawataki.

Nikubaliane na usema binadamu kazi kumtawala. Lkn kazi zaidi ni wapinzani wenzangu wadanganyika.

Lkn mbaya zaidi kwa wadanganyika ni kuona mzungu akituibia ni baraka kutoka kwa Mungu. Hivyo hakuna neno.

Tutembee na akili zetu. Tatizo la la tanzania si waznz. Bali ni watanganyika wenyewe.

Ni tabaka ktk chama tawala ambao ndio wameamua kujipa mamlaka ya kufanya maamuzi kwa niaba ya wadanganyika.

Lkn kichwani ni zero.

Kumbuka kauli ya mznz mwengine mzalendo alivyowahi kusema.

60% wa watendaji ni vilaza

.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685144527358.jpg
    FB_IMG_1685144527358.jpg
    90 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230614-093354_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230614-093354_Samsung Internet.jpg
    238.5 KB · Views: 2
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Amesema point nzuri na ya kweli, lakini huyu jamaa ni kilaza sana tu, anakumbuka shuka wakati kumekucha!
Wakati wa Magufuli yeye si ndiye alibuni na kuendeleza ile sera ya kijinga ya pinga pinga? Yeye si ndiyealiiongoza chadema kuingia kwenye ujinga wa kupinga kila kitu, eti kwa kuwa wao ni chama cha upinzani? Eti sasa hivi ndiyo anaona umuhimu wa kumpa mwamba maua yake! Siasa sometimes ni mchezo wa kijinga sana.
 
Ivi mnaopinga bandari kubinafsishwa tatizo ni anayepewa au ni Nini? Kama kuiendesha tumeshindwa mnataka tuendelee na speed ileile tutaweza kuilisha SGR kweli?? Nimefurahia mijadala ya vipengele vya mkataba ambayo inaleta tija, nasikitikia mijadala ya kwa nn apewe mwarabu wa Dubai ambaye Yuko mbali kimaendeleo, akili zile zile za kijamaa zinazowachukia walioendelea!! Yaani SGR ianze kazi na kutegemea vichwa vile vile vilivyopo pale bandarini???? Nimekaa paleeeee, SGR itakuwa inabeba mizigo mara 3 kwa week from dar to upcountry!
 
Muulize mgodi wa Kabanga walipewa watanzania kipindi chake?
Unajua kabanga nickel ilianza kuchimba Mwaka Gani mkuu ? Magufuri kasaidia sana suala la Kabanga Nickel maana walicheza sana na huo mgodi awamu zilizomtangulia mpka basi watu wanachimba na kukimbia wakidai hawapati kitu
 
Kabanga nickel magufuri kasaidia,,mikataba unaanza na serikali ikiwa na hisa asilimia 16 wakati migodi mwingine ilikuwa asilimia 3
 
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! na anga lote na kuanzia airport hadi bandarini.

Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!amesema Tundu Lisu
 
[emoji24]
 
Back
Top Bottom