Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.

..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.

Lakini tutapata ajira na mafuta ghafi ya viwanda kwa bei sawa na bure na faida kedekede.

unajua gharama ya kuagiza mafuta ghafi toka uarabuni??
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Hata kama Tundu lisu hajasema hayo au amesema lkn huo ndio ukweli MAGUFULI kwenye akili za kipumbavu za kubinafsisha rasilimali making za nchi huwezi kumkuta kwenye Upumbavu huo hata kidogo,ndio maana ukiona mtu anabinafsisha kitu sensitive kama BANDARI na umeambiwa ni mpaka huo lzm uwe na mashaka na uraia wa huyo mtu na anachojali ni nn na washabiki wasiojielewa wao wanashangilia tu na hapa haijalishi mtu ana Elimu kiasi gani,na hiyo iko hivyo kwa sababu kuwa na Elimu sio lazima uwe na AKILI.unaweza kuwa Profesa na hiyo ni Elimu yako tu but you can be poor in judgement and reasoning,na hivyo ukabaki ni mshabiki kama washabiki wengine wasiojielewa tu.
 
Hayo ni matokeo ya kuwa omba omba saaaaaaaaaaaaaana ,unaona ulipoishia Sasa,hata mtaani tu ukitafuta uhalisia ukiwa demu omba omba Sana mwishowe majamaa yatakupa Ila yatataka yakupige like la wengi sijui linaitwaje like,Sasa sisi watz awamu ya sita tumejigeuza ombaomba saana,matokeo ndiyo hayo nahisi na mengine mengi yanakuja,tumeshindwa kuhammasisha wananchi wetu wapige kazi,tukachagua kuwa omba omba hayo ndiyo matokeo
 
Tundu Lissu, kama kweli haya ni yake maana hakuna hata clip katika habari hii, ni mjanja sana. Anawajulia vizuri kabisa mamburura jinsi ya kuwateka.....hata hatumii nguvu nyingi:

Anapandisha maneno kwa kuingizia hili kutoa lile kisha kujumlisha lile kule halafu anagawanya na yale kule kisha anayamagazijuto na akili za watz jibu linakuja ubunge au kugombea uraisi au kuitwa ikulu kupiga juisi. What a country to live!!!!
 
Jamaa hata Muungano alikuwa hautaki , thus why aliamua kureinforce Dodoma , kuna Siri kubwa Sana March 17.. haya mambo ya kuuza rasilimali wakat huu ambao kila nchi inajitahd kukumbatia ilicho nacho ni hovyo Sana
Hata CWT alikuwa mwiba kwao🤣
 
Tutanunulia hapa nchini kwa kutumia shilling yetu kwa kuwa tutachua hapo Tanga, kuliko kuagiza Dubai kwa dollar pamoja na kusafirisha,

..lets wait and see.

..huyo mwenye mali tutamlazimisha atuuzie kwa bei ya chini, au atatuuzia kwa bei ya soko?
 
..lets wait and see.

..huyo mwenye mali tutamlazimisha atuuzie kwa bei ya chini, au atatuuzia kwa bei ya soko?
Uganda ni ndugu zetu Kwanza wanaweza kutupa bure au bei ya punguzo,Sababu hilo bomba watanganyika ndio walinzi wakuu wa hilo bomba,lazima Watanganyika tufaidike.
 
Uganda ni ndugu zetu Kwanza wanawaeza kutupa bure au bei ya punguzo,Sababu hilo bomba watanganyika ndio walinzi wakuu wa hilo bomba,lazima Watanganyika tufaidike.

..itapendeza kama Uganda watatupa mafuta BURE.

..hii gesi inayochimbwa Tanzania mbona hatupewi bure?
 
hiyo siri kubwa ya march 17 hakuna asiyejua,juzi nimeulizwa swali gumu sana na mtoto wa miaka 8 kuhusu kilichotokea march 17 akidai amesikia shuleni sasa akataka kujua kama ni kweli nikamwambia inasemekana hivyo AKALIA SANA tena kwa uchungu mkubwa nilistaajabu nikamtia moyo kwamba aache kulia Mungu atajibu kwa wakati wake.
huyo mtoto wako hana akili
 
..Magufuli alisaini mkataba kusamehe usd 191 billion na kukubali kishika uchumba cha usd 300 million.

..mkataba kati ya Magufuli na Barrick ulikuwa mbaya na kutukandamiza Watanganyika.
Acha uongo! Huo ndio mkataba uliotupatia hata kiasi cha 16% cha hisa kwenye madini yetu kabla ya hapo tulikuwa na zero!
 
Acha uongo! Huo ndio mkataba uliotupatia hata kiasi cha 16% cha hisa kwenye madini yetu kabla ya hapo tulikuwa na zero!

..Magufuli na Kabudi walikuwa na choice mbili.

..usd 191 billion vs usd 300 million.

..wao wakachagua usd 300 million.

..wewe ungechagua nini?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Alichosema ni sahihi kabisa. Ndoo maana mwaka 2017 alibadilisha sheria ili rasilimali za taifa zilindwe
 
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! na anga lote na kuanzia airport hadi bandarini.

Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!amesema Tundu Lisu
Forest vipi siyo nayo du bei

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom