Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.
Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa dalali".
Alipoulizwa, Itakuwaje ukishinda uenyekiti na Wenje kuwa makamu wako, akajibu kwa kifupi sana, "It Will Be a Disaster".
Lissu alibadili mawazo ghafula muda mfupi baada ya Wenje kutia nia, inasemekana lengo lao ni kumuondoa kabisa Lissu kwenye uongozi wa juu wa chama.
Tuvute subira mambo yanaanza kuwa hadharani.