Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

Ni jukumu la waleta habari kuthibitisha kauli sio wapokea habari.

Ni wao wa ku-record na kuweka hizo taarifa zao ambapo ni easily accessible kwa wote.

Moderators wao hawaruhusu wote tuchangie, ni cowards; ndio maana nikatoka.

Kwa kifungu namba ngapi cha sheria gani!
 
Lisu ni mwongo mkubwa.
Mwambie ajibu maswali haya
1. alitaka kumuhonga ili Lisu afanye nini?
2. Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje itakuwaje?
3. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?
4. Ukiletwa ishahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
Umarudia maswali ambayo majibu yake yalitolewa mapema kabisa!!

Na Lisu amemwambia Wenje, kwa sababu walirekodi, aweke hadharani hizo video. Na Lisu alisema wazi kuwa kwa sababu Wenje ni mwongo, ana uhakika hataweka hizo video. Sasa kama unazo wewe hizo video, weka public ili umbane vizuri Lisu.
 
Umarudia maswali ambayo majibu yake yaligolewa mapema kabisa!!
Fine naomba kama una clip/writing ya majibu hayo nirushie, may be kweli sikuyaona. lakini na juzi Wenje kayauliza
 
Ni jukumu la waleta habari kuthibitisha kauli sio wapokea habari.

Ni wao wa ku-record na kuweka hizo taarifa zao ambapo ni easily accessible kwa wote.

Moderators wao hawaruhusu wote tuchangie, ni cowards; ndio maana nikatoka.
Hatupo mahakamani humu kuthibitisha kama habari huiamini achana nayo, ama vip nirushie hela ya bando nikurushie clip yenyewe.
 
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.

Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa dalali".

Alipoulizwa, Itakuwaje ukishinda uenyekiti na Wenje kuwa makamu wako, akajibu kwa kifupi sana, "It Will Be a Disaster".

Lissu alibadili mawazo ghafula muda mfupi baada ya Wenje kutia nia, inasemekana lengo lao ni kumuondoa kabisa Lissu kwenye uongozi wa juu wa chama.

Tuvute subira mambo yanaanza kuwa hadharani.

Hapa tunaita "Jambo Limezua Jambo". Kmbe kuna Abdul kwa upande mmoja, Wenje kwa upande mwingine na maokoto kwa upande ule. Kusingekuwa na mtifuano, haya yote tusingeyajua
 
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.

Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa dalali".

Alipoulizwa, Itakuwaje ukishinda uenyekiti na Wenje kuwa makamu wako, akajibu kwa kifupi sana, "It Will Be a Disaster".

Lissu alibadili mawazo ghafula muda mfupi baada ya Wenje kutia nia, inasemekana lengo lao ni kumuondoa kabisa Lissu kwenye uongozi wa juu wa chama.

Tuvute subira mambo yanaanza kuwa hadharani.
Otherwise kila kitu kiko under control
 
Shida yenu ipo kwenye uwasilishaji mnakuwa na ushabiki sana (mimi nilitoka huko, can’t bear to listen to such nonsense).

Mfano sakata la serikali ya mseto, alichoongea Lissu na representation ya (media na mitandao sivyo kabisa) na alichosema.

Kwenye swala la siasa za nusu mkate, Lissu alielezea kisheria haiwezekani kabisa na isingeweza kuwa hoja yao ya maridhiano ni hadithi tupu. Na Lissu alitoa elimu ya kina ya sheria kwanini aiwezekani na CDM isingekuwa na muda huo wa kupoteza.

Kuna wahariri juzi wamemuuliza Mbowe kama vile, Lissu alishutumu CDM kwa hiyo hoja. Wakati Lissu ndio katumia muda mwingi kutoa somo la sheria kwanini hizo hadithi za nusu mkate zisingiwezakana kwa sheria za Tanzania (upande wa bara).

Ndio ugomvi wangu ulipo na watanzania, kudhani unaweza tunga mambo tu na ku-get away (na huo pia ndio ulikuwa ugomvi wa Magufuli) kwenye kujenga nchi; uwezi poteza muda kujibu upumbavu wakati una kazi za kufanya.

Na hiyo ndio sampuli kubwa ya fikra za watanzania. Someone has to sort this mess.

Nitamtwanga Lissu kwa hoja ambazo sikubaliani nae, lakini siwezi kumtungia uongo au kushabikia uongo aliotungiwa.
Kumbe una akili sana ( maturity level yako sio ya nchi hii buddy)
 
Hatupo mahakamani humu kuthibitisha kama habari huiamini achana nayo.
Hujui hata kama unajukumu la kuthibitisha habari yako (morally).

IMG_7649.jpeg

Phoenix v Denver makes more sense, kama hujui unajukumu la kuthibitisha point of view.

Anahitajika mtu wa kunyoosha watanzania akili zenu, uwezi tu kutoa claims/accusation kutoka kichwani kwako na kudhani ni sawa.

Yaani uandike wewe, halafu utake wasomaji wathibitishe (source yako)

Where did you get this. thinking from.

Tukisema anahitajika mtu wa kuinyoosha nchi, ni kwa sababu mapungufu yetu yapo wazi.
 
Hujui hata kama unajukumu la kuthibitisha habari yako (morally).

View attachment 3183719

Phoenix v Denver makes more sense, kama hujui unajukumu la kuthibitisha point of views.

Anahitajika mtu wa kunyoosha watanzania akili zenu, uwezi tu kutoa claims/accusation kutoka kichwani kwako na kudhani ni sawa.

Yaani uandike wewe, halafu utake wasomaji wathibitishe.

Where did you get this, thinking from.
Nafikiri wewe ni mpumbavu
 
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.

Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa dalali".

Alipoulizwa, Itakuwaje ukishinda uenyekiti na Wenje kuwa makamu wako, akajibu kwa kifupi sana, "It Will Be a Disaster".

Lissu alibadili mawazo ghafula muda mfupi baada ya Wenje kutia nia, inasemekana lengo lao ni kumuondoa kabisa Lissu kwenye uongozi wa juu wa chama.

Tuvute subira mambo yanaanza kuwa hadharani.
ulimi kiungo kidogo matatizo yake ni makubwa, jamani ulimi ulimi dah 🐒
 
Back
Top Bottom