Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

Ni jukumu la waleta habari kuthibitisha kauli sio wapokea habari.

Ni wao wa ku-record na kuweka hizo taarifa zao ambapo ni easily accessible kwa wote.

Moderators wao hawaruhusu wote tuchangie, ni cowards; ndio maana nikatoka.

Kwa kifungu namba ngapi cha sheria gani!
 
Umarudia maswali ambayo majibu yake yalitolewa mapema kabisa!!

Na Lisu amemwambia Wenje, kwa sababu walirekodi, aweke hadharani hizo video. Na Lisu alisema wazi kuwa kwa sababu Wenje ni mwongo, ana uhakika hataweka hizo video. Sasa kama unazo wewe hizo video, weka public ili umbane vizuri Lisu.
 
Umarudia maswali ambayo majibu yake yaligolewa mapema kabisa!!
Fine naomba kama una clip/writing ya majibu hayo nirushie, may be kweli sikuyaona. lakini na juzi Wenje kayauliza
 
Ni jukumu la waleta habari kuthibitisha kauli sio wapokea habari.

Ni wao wa ku-record na kuweka hizo taarifa zao ambapo ni easily accessible kwa wote.

Moderators wao hawaruhusu wote tuchangie, ni cowards; ndio maana nikatoka.
Hatupo mahakamani humu kuthibitisha kama habari huiamini achana nayo, ama vip nirushie hela ya bando nikurushie clip yenyewe.
 

Hapa tunaita "Jambo Limezua Jambo". Kmbe kuna Abdul kwa upande mmoja, Wenje kwa upande mwingine na maokoto kwa upande ule. Kusingekuwa na mtifuano, haya yote tusingeyajua
 
Otherwise kila kitu kiko under control
 
Kumbe una akili sana ( maturity level yako sio ya nchi hii buddy)
 
Hatupo mahakamani humu kuthibitisha kama habari huiamini achana nayo.
Hujui hata kama unajukumu la kuthibitisha habari yako (morally).



Phoenix v Denver makes more sense, kama hujui unajukumu la kuthibitisha point of view.

Anahitajika mtu wa kunyoosha watanzania akili zenu, uwezi tu kutoa claims/accusation kutoka kichwani kwako na kudhani ni sawa.

Yaani uandike wewe, halafu utake wasomaji wathibitishe (source yako)

Where did you get this. thinking from.

Tukisema anahitajika mtu wa kuinyoosha nchi, ni kwa sababu mapungufu yetu yapo wazi.
 
Nafikiri wewe ni mpumbavu
 
ulimi kiungo kidogo matatizo yake ni makubwa, jamani ulimi ulimi dah 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…