Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

Lissu hana breki ya mdomo, hata akishinda uenyekiti kitu ambacho hakipo atagombana na kila mtu pale ofisini.
Mwanaharakati, sio kiongozi.

Duh jamaa ropo-ropo kweli, hana mipaka.

Ndio maana watu wakam’mmumyia mvua ya risasi kwenye maswala ya kitaifa.

Hajui mipaka ya kutoongea kumbe hata ndani ya chama chake, he is very shallow politically.
 
Hahaha pesa za Abdul ziko wapi, au nani anazo huko chadema?

Lisu alisema chadema hakuna mgogoro, haya maneno anaongea yeye au anawekewa maneno kinywani?

Mi naona kama tatizo ni pesa, basi Abdul atafutwe ampe hizo pesa, ili turudi kwenye hoja.
 
Lissu anasema aliambiwa kuna viongozi Chadema tayari wameshachukua chao mapema kabaki yeye tu, alipoambiwa awataje akaanza kujiumauma.
 
Lissu kanyooka lesser beam inasibiri
 
Lissu anasema aliambiwa kuna viongozi Chadema tayari wameshachukua chao mapema kabaki yeye tu, alipoambiwa awataje akaanza kujiumauma.
Kila kitu kina muda wake. Mbona tayari alishamtaja Wenje? Kuwa Abdul kamhonga mpaka Mbowe hili ni dhahiri kwa kutumia tu akili ya kawaida.
 
Lissu anasema aliambiwa kuna viongozi Chadema tayari wameshachukua chao mapema kabaki yeye tu, alipoambiwa awataje akaanza kujiumauma.
Yani ukiambiwa kitu hata hujafanya utafiti wa ulichoambiwa kama ni kweli au uongo, yani kuthibitisha uhalisia wa ulichokisikia, wewe unakibeba tu kilivyo, halafu nawe unakisema/kukisambaza bila ushahidi/uthibitisho wowote?

Mi sidhani kama Lisu anaweza kuwa na akili ya hivyo.

Lisu ni mtu anayefikiri vizuri nahisi.
 
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake kasema.
 
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake kasema.
SIjui alithibitishaje aliyoambiwa kwamba ni kweli, anajua yeye, maana ni mwanasheria yule unajua.

Labda iko siku nasi tutaujua na kuuthibitisha ukweli wa alichoambiwa.
 
Hivi mbali na Wenje nani mgombea mwingine wa umakamu
Maana yake akiwa mwenyekiti atafagia madudu ya mbowe ikiwemo ufisadi na wale wabunge haramu 19 timu mbowe huku wenje akiwa mtetezi wao ndipo kutatokea balaa
 
Wewe ulale sisi tubaki tunakurekodia.
Wewe ni Retired naona Lisu atawaua safari hii. Siku hizi lazima mpost nyuzi si chini ya 2 dhidi ya Lisu. Lakini ni hivi, mabadiliko yakifika yamefika tu. Ole wenu mlioamua kumtegemea mwanadamu.
 
Tafuta clip yake jana ilikuwa ni siku ya kuropoka
Sio kuropoka, sema kusema maneno yasiyowafurahisha team Mbowe. Sasa tunangoja huo mdahalo, hapo ndio mtajua kuwa king'ang'anizi wa madaraka ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…