Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

Mwache akatwe ameyataka mwenyewe!
 
Lissu anapita barabarani toka mkoa mmoja kwenda mwingine, huko njiani anakutana na watu wenye shauku ya kumuona, anawasalimia, sasa wewe ulitaka apande ungo au afanyeje?!
Sheria na mwongozo wa NEC unasemaje wakati wa kutafuta wadhamini?
 
HIVI HUWAGA HUNA HOJA ZINGINE ZAIDI YA TUNDU LISSU, MBONA TL ANAWAFANYA MNAZIDI KUWEWESEKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…