Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Hakuna siyejua thamani ya polisi, ila kwa siasa za Jiwe polisi force/service imekengeuka! TRA hakuna asiyejua thamani yake, ila kwa siasa za Jiwe, TRA imekengeuka , hakuna siyejua thamani ya mahakama, ila kwa siasa za Jiwe, Mahakama imekengeuka, hakuna siyejua thamani ya Bunge, ila kwa siasa za Jiwe, Bunge limekengeuka etc etc etc
Sio kweli, na naamini hata ww utampigia Rais wetu kura ifikapo Oct 2020, sbb maendeleo mnaona kwa macho sio kuhadithiwa tena. Ujue binadamu haridhiki hata umfanyie nn, tukiweka ukweli mbele na kuacha uongo, Mh. Magufuli kafanya makubwa sana hilo ukibisha ni sbb zako binafsi na chuki zako tu, ila ukweli unaonekana.
Hivyo namuombea kura kwako na naamini utampa ili aendelee kufanya makubwa ya maendeleo sio siasa za maneno matupu.. Hivi mna macho nyie kweli?