Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Anakusanya watu na kuelezea sera zake kwa kisingizio cha kwamba anatafuta wadhamini. Angefanya Magufuli si ingekuwa kelele dunia nzima ingejua.
Tuseme basi inaruhusiwa kufanya afanyacho unapotafuta wadhamini. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wadhamini wanatakiwa kutoka mikoa 10 nchi nzima, ikijumuisha miwili ya zanzibar, sasa mbona huku bara kashaenda zaidi ya 10 kama sio kampeni ni nini?
Nafikiri kwa jinsi anavyopiga kelele kuhusu sheria, yeye kama mtaaluma wa sheria angekuwa wa kwanza kutii na kufuata taratibu na sheria.