Mother Deola
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 227
- 362
Jamaa wamepoteana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kejuu,
Si mlilalamika kuwa aseme atawafanyia nini wananchi? Amesema mnaanza tena kulalama! Mnataka awe bubu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wamepoteana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kejuu,
Si mlilalamika kuwa aseme atawafanyia nini wananchi? Amesema mnaanza tena kulalama! Mnataka awe bubu?
Wadhamini wanatafutwa kwenye mikutano ya hadhara tena yenye ahadi kem kem za muomba kugombea?Tundu Lissu ni mwanasheria na ameshaichambua hio sentesi ya kusema ni kampeni. Kampeni bado hazijaanza unawewaje kusema ni kusema ni kampeni? Labda hawajui tofauti ya Kampeni na kutafuta wadhamini.
Mimi nashauri tu kwamba huyu jamaa hata kama amefanya makosa kuanza kampeni kable ya muda aachwe tu ataleta matatizo tu kwanza akilizake hazijaenea mara aseme yeye ana damu ya kenya mara ya Ubelgiji basi tu yupo yupo tu.Embu tuambie kampeni ni nini? Alafu tupime kama CCM hamjafanya kampeni kwa miaka yote mitano na bado hamjiamini.
Tena afadhali yeye anatoa elimu ya uraia kwa wananchi. Elimu ambayo imeachwa kutolewa si katika masomo ya shule za msingi na sekondari tu, bali pia hata vyuo vikuu vimegeuzwa kuwa viwanda vya kuzalisha makondoo, yaani vijana wasiofikiri kuhoji au kujenga fikira mbadala za kutatua matatizo ya kijamii. Wanaimbishwa wimbo wa hapa kazi tu. Baada ya miaka mitano ya hapa kazi tu tuna madege ya ATCL (ambayo huwezi kuambiwa faida yake) wakati shule za msingi na sekondari hapo Mkuranga (km 50 kutoka Dar) watoto wa 'wanyonge wa magufuli' wanakalia mawe na ndoo darasani!. Acha atoe elimu ya uraia, hata akikatwa atakuwa ametoa mchango mkubwa kuelekea ukombozi wa taifa hili.Waliyataka wenyewe,agenda zote wamempa wenyewe.Mteke watu,mfunge wengine jela kwa kuwasingizia/kuwaonea,mnashambulia kwa risasi na mapanga halafu mkiambiwa mnadai kaanza kampeni?
Mbona CCM imefanyiwa Tamasha,Imezindua nyimbo za kampeni,kongamano la wenye Dini zao ambazo zimeruhusiwa kuchanganyikana na siasa za CCM Mpya hamwezi kuona kuna tatizo ila kwa Mh.Lissu mnachonga midomo.Mnatishia kumkata,kateni muone kitakachofuatia.
Go work on your prepositions, idiot. Andika kwa lugha unayoielewa vizuri.It doesn't matter whatever the case, and be careful on what you respond on others. Do you know what they say, you get the treatment of your medicine. FYI, don't look on my registration date, and start bucking at me. When you respect others, you get respected too, my friend.
Mie sisikilizi media za bongo saivi. Wote saivi ni kuwapigia kampeni CCM tu wakati kuna vyombo vya Habari vimefungiwa, waandishi wananyanyaswa, watu kutekwa hovyo, kupigwa risasi na kubambikiwa makesiHawa CCM Mpya wameziba media zote kuhoji wapinzani au kuwapa nafasi kupitia TV/Radio/ Mikutano ya wazi /Ndani kuzungumza na Taifa wapate kuwafahamu kwa miaka 5 sasa.
Hivyo njia moja ya kushawishi waTanzania wakubali kuwaamini ili kuwadhamini ni kwa kukutana nao kama hivi kwa kujitambulisha wao ni nani na kutoa historia na elimu ya uraia kuwashawishi wananchi haki yao ili wawadhamini.
Hakuna siyejua thamani ya polisi, ila kwa siasa za Jiwe polisi force/service imekengeuka! TRA hakuna asiyejua thamani yake, ila kwa siasa za Jiwe, TRA imekengeuka , hakuna siyejua thamani ya mahakama, ila kwa siasa za Jiwe, Mahakama imekengeuka, hakuna siyejua thamani ya Bunge, ila kwa siasa za Jiwe, Bunge limekengeuka etc etc etcLissu sasa ameanza kuona thamani ya polisi wetu, anaona jinsi wanamlinda..!! Nategemea ataonyesha hiyo heshima na kuendelea.. Kudos to our Police Officers
Ubarikiwe sanaSiyo kampeni hiyo bali anafanya siasa.
Na haki ya kufanya siasa ipo kwa mujibu wa katiba.
Haki hiyo ya kufanya siasa na freedom of speech and right to assembly haiondoki kwa ratiba za NEC
Katiba ya nchi imempa mtu haki ya KUCHAGUA na KUCHAGULIWA, na vigezo vya mtu kuchagua au kuchaguliwa vimeelezwa vizuri kwenye katiba.
NEC haina power za kumnyima mwananchi haki ya kisheria ya kuchagua au kuchaguliwa kwa kutumia vikanuni uchwara ambavyo havina uzito wowote juu zaidi ya kikatiba na sheria!
ahahahahaaaa . . . . yaani kipa katoka. Na kutabamba sana mwaka huuHamisheni tu Magoli. Huyo ndo Lissu . Na hadi mtavua nguo mwaka huu kwa kuwehuka maana kawashika pabaya 😂😂
Tatizo la ccm siku hizi sio wale vichwa wa zamani waliokuwa wanajibu hoja. ccm ya siku hizi ni propaganda na kutokujiamini tu. wanakimbia kimbia tu bila mipangilio na mwaka huu huyu jamaa anayeitwa Lissu kawanasa kweli kweli kitanziniHapo sawa
Kejuu,
Hapo sawa, hajamtukana Magufuli Wala hajasema maneno ya uongo, hajabeba marungu na Bondo kutumia jeshi la Police ndivyo tunataka.