Lyaka Mlima Jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2020
- 361
- 521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanze mara ngapi mkuu?Nadhani akianza kampeni mtaumwa vichomi na sonona.
Kwa ufupi tu hiyo inaitwa SAFISHA NJIA.
Mkuu, atalimwa yule ujue? Wiki ijayo siyo mbaliMagufuli anaahidi kila siku kufanya hili na lile hilo nalo walionaje ? naomba nikutoe wasiwasi , hakuna mtu yeyote anayeweza kuthubutu kumkata Lissu , ondoa shaka
Apoteane kivipi. Kunywa Maji tu. Naona hali si hali LumumbaWe mwache abwabwanje tu, mbona atapoteana yule
kama umetumwa kupima upepo nenda kawaambie hilo zoezi limeshindikanaMkuu, atalimwa yule ujue? Wiki ijayo siyo mbali
Sasa huo ni upopoma mkuu, just stick on issues, and don't bring low-IQ mentalitykama umetumwa kupima upepo nenda kawaambie hilo zoezi limeshindikana
Umeingia JF May 2020 , heshimu wakubwa wako , mimi nakufahamu hata kabla ya hapa , be carefulSasa huo ni upopoma mkuu, just stick on issues, and don't bring low-IQ mentality
It doesn't matter whatever the case, and be careful on what you respond on others. Do you know what they say, you get the treatment of your medicine. FYI, don't look on my registration date, and start bucking at me. When you respect others, you get respected too, my friend.umeingia jf may 2020 , heshimu wakubwa wako , mimi nakufahamu hata kablabya hapa , be careful
Jenga hojaTulia
Tulia dawa iwaingie vizuri acha woga sio kila homa ni Malaria
Leta nguzo na misumariJenga hoja
Waliyataka wenyewe,agenda zote wamempa wenyewe.Mteke watu,mfunge wengine jela kwa kuwasingizia/kuwaonea,mnashambulia kwa risasi na mapanga halafu mkiambiwa mnadai kaanza kampeni?Kejuu,
Huyu ndo Lissu kama Lissu!!! Umesikia hoja hizo zilivyo zamoto? Mtamwezea wapi?
Lazima mvue nguo mwaka huu. Eti Lissu hana hoja, akitema madini mnakimbilia kaanza kampeni. Na bado CCM mtaongea lugha zote mwaka huu! 😀😀😀😀
Wamechanganyikiwa hawa ndugu. Hawana hali kwa kweli 😂😂Waliyataka wenyewe,agenda zote wamempa wenyewe.Mteke watu,mfunge wengine jela kwa kuwasingizia/kuwaonea,mnashambulia kwa risasi na mapanga halafu mkiambiwa mnadai kaanza kampeni? Mbona CCM imefanyiwa Tamasha,Imezindua nyimbo za kampeni,kongamano la wenye Dini zao ambazo zimeruhusiwa kuchanganyikana na siasa za CCM Mpya hamwezi kuona kuna tatizo ila kwa Mh.Lissu mnachonga midomo.Mnatishia kumkata,kateni muone kitakachofuatia.