Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

View attachment 1540457View attachment 1540458
Na Mgombea wenu anavyopost hivi kwenye pages zake za Facebook anafanya nini? Sio kampeni hii?

CCM Mtaongea yote mwaka huu. Itoshe kusema kuwa hoja za Lissu ni zamoto sana kiasi kwamba hamuwezi kuzigusa au kuzijibu bali kuleta ulalamishi tu.

Nimemsikia hadi Majaliwa wenu analia mbele ya wafanyabiashara wenu wa dini mnaowaita viongozi wa dini leo Eti watu wanatafuta huruma.

Mwambie nae atuambie wapo wapi waliompiga risasi Lissu?
Mbona wapo chadema huko huko, mnatekana halafu mnaiwakia serikali. Unamjua huyu?
 
Mkateni kinuke. Mbona Jiwe miaka 5 kafanya kampeni peke yake? Mpaka na matamasha kabisa ya kumnadi. Afterall bado Lissu hajapitishwa kuwa mgombea wa Urais hivyo hiyo sio kampeni usihofu.
Hakiwezi kunuka mkuu, watu wenyewe waogaaa, kelele tu nyuma ya keyboard
 
NEC Hawakuweka muongozo wa namna gani mgombea atakutana na watu wa kumdhamini.Kwahiyo LISU yuko sawa mno.
Kunauwezekano kuna mahali atakuwa ameingia kingi yule, so why wengine hawafanyi hivyo?
 
Polee mwana Lumumba! Jikaze tu kisabuni, huyo ndo Lissu. Hoja zake lazima mpoteane. Jikaze tu kasema hatorudisha kisasi akichukua nchi hapo October mwaka huu😀😀😀
Kuchukua nchi yule? Acha basi kuchekesha mkuu
 
Hakiwezi kunuka mkuu, watu wenyewe waogaaa, kelele tu nyuma ya keyboard
Wee hii Tanzania bana, watu hawawezi kufuata ujinga kama ule, kayakoroga mwenyewe, acha ayanywe
 
Back
Top Bottom