Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Kwani wewe unavyosema Lissu ni shoga siyo kumtusi au unajiona wewe una kinga ya kutukana watu bila kujibiwa sawa sawa na upumbavu wako? Heshima ni kuheshimiana,usipoheshimu wengine nawe huwezi kuheshimiwa. Tatizo lako ni malezi ya kishenzi uliyopata utotoni ndiyo maana huna adabu.
 
Ujasiri wetu uleulee wa nyuma ya keyboard ndounaoturudisha nyuma
"Tuilinde amani" inaoneka kutokuwa na vita ndiyo kuna amani lakini amani haiwezekaa pasipo na upendo, kuaminiana, na mshikamano
 
Tutajie mmoja aliyepitia makubwa kama Lissu.
 
Wapo waliouwawa kwa risasi na wapo walichomwa moto na kuzikwa kabisa
Huwa hupitii habari? Au hao wao sio watanzania?
Kama nani wataje hawo waliohai ambao walipitia kama alivyopitia Lissu?
 
Kitendo cha CDM kumficha dereva sina imani na CDM.nahisi ni wenyewe walitumana kufanya la kufanya.
Pia chadema waliwatuma walizni siku ya tukio waondoke,.walitumiza cctv camera ziondolewe baada ya tukio, walikuwa Wana toa amri kwa wananchi wasimfanyie maombi.

Yote hayo yamefanywa ni chadema.
 
Kwani magufuli anauzalendo aliouonesha?
Mbona kama alikuwa mzalendo leo hii mnapinga ufisadi wake alioufanya.

Ninaoujua ni kuuwa,kuteka,mwizi WA mali za wananchi mnafiki saiv yuko huko ameshakuwa skeleton mama yake mpuuzi yule.
 
Maisha yako magumu usitake kuja kumalizia hasira kwangu wewe!

Tafuta hela acha kumtetea Lisu mwenzio anakula raha huko ubelgiji huku wewe unapiga miayo hapa.

Ona sasa ulivyo na stress!
 
Duniani tunatawaliwa na ubinafsi, wanachadema hawako tayari kulipigia suala la Lisu kwa sababu wanajua atapata umaatufu na kuvombea tens uraisi wakati wao wenyewe pia wanautaka uraisi.
 
Maisha yako magumu usitake kuja kumalizia hasira kwangu wewe!

Tafuta hela acha kumtetea Lisu mwenzio anakula raha huko ubelgiji huku wewe unapiga miayo hapa.

Ona sasa ulivyo na stress!
Sina maisha magumu ndiyo maana sijipendekezi kwa hilo chama lenu la kigaidi kutegemea kuteuliwa. Nina uwezo wa kukuweka ndani ukala ukashiba na kujirusha utakavyo ilimradi tu unipe huo mdomo wa chupa. Kwa vile unakaa kwa dada yako basi unaona wote maisha yametushinda, shoga mbovu wewe.
 
Niliwahi ona smart IGP, ile calibre sijaiona kwa sasa. Niliona mahojiano nanukuu "...huyu Bwana anahulka ya ukorofi" end quote , legally speaking it seems as Sirro anabifu binafsi na Lissu
 
Siri Katoa kauli mbaya kabisa kwa Mtu ambae alistahiki kumsaidiani hadi dakika ya mwisho kabisa iko spare haki yake. Tundu Lisu.

Kazi ya polisi yoyote Ni kulinda usalama wa raia pamoja na Mali zao.

Leo hii Tundu Lisu amekua mlemavu,kilema sio kwa kuzaliwa,Bali kushambuliwa.

Mtu pekee hapa Tanzania alietakiwa kusaidia Lissu kuwapata mateso wake Ni IGP ambae kwa sasa Ni Siri.

Lakini Siro kageuka na kuwa mdhihaki mkubwa wa Lisu.

Kujiita Lisu kilema anaetegemea msaada kwa wazungu Ni kashfa kubwa Sana kwa IGP.

Ingekua Ni nchi nyingine nchi nyingine Leo hii Siro angekua ameshaondolewa madarakani.

Lakini kwa vile nchi hii ni nchi ya hovyo hakuna hatua zote Za kinudhamu zitakazochukuliwa.
 
Huyu mzee anatakiwa ashitakiwe kabisa.
 
Wewe nitakusaka lazima nikuweke kitu kigumu chenye ncha butu ndiyo utaniheshimu choko mbovu wewe
Stress za maisha zitakuua dogo!

Tafuta hela,

Ukiwa na hela raha tupu huwezi kuja kujianika na mistress yako humu namna hiyo
 
Lissu anaitosha kabisa kuikabili serikali peke yake. Chadema Acha waendelee kudai katiba na kujenga ofisi nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…