Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Mambo ya hovyo huwa hayajifichi milele,

Diallo kishalianzisha gurudumu, taratibu, moja baada ya jingine, matukio yote haya yataanikwa tu nje watu wajue.
 
Lisu ashukuru sana hakufikishwa Muhimbili siku hiyo!

Magufuli tayari, bado hao wawili watalipa tu.
Kwan Muhimbili kuna nini ambacho pale Benjamin Mkapa hakuna? Unawakumbuka watu waliomtibia Lissu at the first time mmoja wao alikuwa mteuliwa kabisa wa Hayati?

Lissu sawa na Mbowe tu maana ata Mbowe mara baada ya kuanguka akiwa amelewa ilibidi aende Dispensary za vichochoroni huko akwepe za Serikali akiogopa aibu.
 

..wale wa dodoma hospital walikuwa hawajajipanga.

..wa huku d'salaam wangekuwa wana "maagizo kutoka juu."
 
Mkuu, nadhani huelewi ninacholenga hapa.

Mteuliwa huyo unayemsema, kumbe hata hukufuatilia kilichompata baadae?
 
Wewe mataga kwa nini unamuita Lissu mwanasiasa machachari badala ya makamu mwenyekiti?
 
Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza

Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo...
Mmoja ameshalipa. Amekufa kwa huzuni na machungu mingi moyoni.Halafu aliwatukana watawa.Nikasema he won't survive any longer!There he went!😝😝😝😝😝😝
 
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
 
Sasa si akaishi huko huko? Ngonjera na kiki zake tumezichoka
 
Mwanza asante saaana!

Wapiga kura walimchagua Tundu, lakini FFU, TICCm, DEDccm na Tumeccm wakamtangaza mwendazake.

2025 ffu na tiss wasipoingilia, mama hatoboi, saa4 asubuhi kazi kwisha
Mkuu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tz. Usipoteze muda wako. Na wala sio sababu ya Polisi wala Nini. Wananchi nje ya wewe hawawezi kumchagua huyo. Kuongoza nchi sio kufanya debate ya maneno.

Sasa wewe kwa akili yako unaweza amini ujinga huo: eti nilipata habari Rais anataka kuniua. For what. It’s too much ujinga mpaka nashangaa.
 
Fara kama labda uwe positive HIV kwenye maisha halisi wewe kenge tu
Sawa Mimi kenge..Ila urudi shule kwanza ukajifunze kuandika Kwanza kisha uje tubishane Kwa oja..'fara' ndiyo nini?

Ila sishangai,vitoto vitukutu ndy kawaida yenu mkishaanza kujifunza kuandika cha Kwanza mnajifunza kuandika matusi ukutani..naona Jf umefanya ndy ukuta wako🤣
 
Mh nadhani kila mtu akili za kuchagua wa kumuamini maana Kuna watu akasema Lissu neno kwao halina mjadala na wengine akisema Sirro hivyohivyo Sasa kila mtu atumie akili zake maana Tundu kwangu kila kitu anakitumia Kama fursa ya kisiasa Mimi simwamini Sana kwa ajili hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…