Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Asante π ππ Sana tumemaliza muda wetu bure kwa kutegemea mawazo ya ccm iliuoshindwa..anasema atapunguza kodi ili iwe rahisi kwa watu wengi zaidi kuanzisha biashara na miradi ya ujasiriamali.
..mfumo wa sasa hivi umejikita ktk kukamua wafanyabiashara na wawekezaji kwa kodi kubwa, na hauchochei wananchi wengi zaidi kuanzisha biashara na kuwekeza...
Hizi ndio hoja siyo kipenda hata vilivyo ozaSitaki poteza muda wangu kuelimisha mpumbavu ila kama unataka kutoa upumbavu wako, kasome jinsi china ilivyoweza kuvutia wawekezaji mpaka hivi sasa imekuwa tishio kubwa mpaka hata taifa lililowacolonize.
Ndugu zangu,
Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma...
Lissu hata kama akiahidi ofisi znahamishiwa kwenye mapango ya Bagamoyo yuko sahihi ili watumishi wapate nyongeza za mishara na ubabe wa akina makonda upotelee mbali
Kwa sasa sisi watanzania TUMEICHOKA CCM.
Usiseme Watanzania sema Tume yenu ya kingese.Watanzania hatuwezi kupitisha hizo sera mbovu
Usiseme Watanzania sema Tume yenu ya kingese.
Kasema atanunua ndege 5 ndio ilikua ndoto yake toka yuko BurigiNdugu zangu,
Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma...
Ni muhimu kwa usafi huwezi kuoga wala kufua bila povuPovu
Kasema atanunua ndege 5 ndio ilikua ndoto yake toka yuko burigi
Mkuu mwenyekiti wako hakumulewa Lissu kwenye Mambo ya makinikia hadi pale alipokuja kufafanuliwa Mambo Yale na AG wa Sasa,Sasa wewe na akili zako za kisoda unawezaje kumuelewa?Ndugu zangu,
Nimepata fursa ya kumsikiliza Tundu Lissu akitangaza ilani ya Chadema nikiri kwa kusema kuwa ili kutekeleza "wish list" yake inahitaji kufadhiliwa na fedha za nje kwa asilimia zaidi ya 90 na uenda akashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wa umma...
Ndiyo na ndo maana imported goods zipo bei ya chini Kampala kuliko Dar penye bandari na pili ni hizi sera na yesu za majukwani aka matamkoKamanda hivi ukiweka kwenye orodha ya vikwazo vya biashara kodi ni namba moja?unataka kusema leo ukifuta kodi zote viwanda vitajaa?...
Mkuu ule ulikuwa mkutano wa kampeni,halikuwa bunge la budget,Ila Kama Magu alisema atanunua ndege tano na akasema pesa atatoa wapi tuwekee hapa na sisi tuone pesa ya madege inakotokaHajasema hiyo Kodi anayopunguza atafidia vipi kwa vyanzo vipi vipya??
Mkuu hivi unajua ni lini board ya mikopo ya elimu ya juu imeanza? Je unajua Kama elimu bure ni sera ya chadema na wakati huo walipoileta maswali Kama haya yaliulizwa hadi na JK?Wananchi wanataka kufahamu yafuatayo:
1. Wahitimu watalipa asilimia ngapi ya mkopo kutoka bodi ya mikopo na ni kwa muda gani...
Magu akisema ananunua tunajua atatoa wapi maana sio mara ya Kwanza kufanya hivyo ,Mkuu ule ulikuwa mkutano wa kampeni,halikuwa bunge la budget,Ila Kama Magu alisema atanunua ndege tano na akasema pesa atatoa wapi tuwekee hapa na sisi tuone pesa ya madege inakotoka