Aliongea zaidi ya hayo mbele ya Chuma...au ukezaliwa leo?Yani haya maneno angekuwepo Chuma, asingethubutu kuongea hivi. Anyway...
Kama hutaki basi baki hivyohivyoShida TL ukimpa hela kesho anakuita mla rushwa ...
Balance of power itatokea tu, CDM iwepo au isiwepo...
Bila machafuko wapinzani wataendelea kufanywa mabegwe. Tumechoka kutawaliwa na ccm kwa shuruti.Hii kauli itakuwa ni mwanzo na chanzo kikuu Cha machafuko hapa nchini
Reforms kwa njia za amani zimeshindikana, namna pekee ndio hiyo ambayo wote tutaheshimiana.Hakuna haja ya kufikia huko, Tanzania ni muhimu kuliko Vyama, tunachohitaji ni Reforms kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi na KATIBA BORA MPYA.
Ukifikia hatua ya bunduki uko uso kwa uso na kifo.Eeeh , juzi alisema yuko tayari kufa leo zinahitajika Bunduki, karudia mbali mbili kuonesha hajateleza. Sawa Mzee
Ni afadhali cdm ife, kuliko iwe hai kwa kijipendekeza kwa ccm huku wafuasi wake wakigeuzwa wahanga utawala wa mabavu wa ccm.Hoja nzur,
Tatizo unazuia vipi uchaguzi?
Watu wana ndoto zao..., suo kujiunga na chama tu ili kupiga makofi..
Lakini zaidi , Huo ukata wa fedha anaouona hapo chama kisipo shiriki uchaguzi kitageuka chama fukara na watahongwa mwanzo mwisho na ndio end of the good days ya CDM .
Hatuna tatizo na nani mshindi, tunataka ashinde kihalali tu. Hapo ndio penye ngoma.Mwache aongee lakini mshindi come 2025 election ni CCM
Hizi sasa ndio siasa za kuwaweza CCM tulizokuwa tunasubiri kutoka TAL. Embu tendelee hivyo hivyo hadi kieleweke.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura"
"Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka jana muliweka wagombea wa nafasi zote zinazogombaniwa hapa Kibamba na sehemu kubwa walienguliwa, mkatumia nguvu kubwa kuwarudisha, wakarudishwa baadhi alafu siku ya tarehe 27 mkashughulikiwa vizuri zaidi, matokeo yakatangazwa kwa mitutu ya bunduki ndio maana hamna Mwenyekiti wa mtaa hata mmoja, sio kwasababu mmekuwa wajinga kuliko mlivyokuwa miaka 10 iliyopita ni kwasababu sasa hivi ilitushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao"
Lissu ameendelea kwa kusema: "Katika mazingira ya uchaguzi wa sasa ili tushinde uchaguzi inabidi tuwe na bunduki kama wao, ili wasiweze kutumia bunduki zao kuingia vituoni kwa nguvu na kuchukua masanduku ya kura kwa nguvu,"
Lissu amehoji: "kama na sisi tukiwa na bunduki hiyo nchi itakuwaje?, patakua na pakukaa hapo?, ndivyo wanavyotaka?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata wakimuweka jela, mbegu ya mabadiliko ya kweli ameshaipanda.Alichokisema ni sahihi kabisa,sasa Lissu unaelekea pazuri,tatzo watakuweka ndani,tunakuhurumia jela sio kuzuri
Hii Strategy ya kubeba mitutu sio, mimi naunga mkono Maandamano yasiyo na kikomo kuliko kuliingiza Taifa langu nilipendalo kwenye Civil War na kama lengo ni kuliingiza Taifa kwenye civil war basi nitaachana na Vyama nitasimama na Taifa.Reforms kwa njia za amani zimeshindikana, namna pekee ndio hiyo ambayo wote tutaheshimiana.
Hiyo mikono unayotumia kuandika upupu humu ikusaidie kupiga bakari nondo laa sivyo itakuponzaMi ikipatkana SMG,Ak47,SAR,M16 nipewe moja wapo….Am more than ready.
Sina shda na mwanamke bro,ukombozi wa Taifa ndo muhmu kwa sasa.Hiyo mikono unayotumia kuandika upupu humu ikusaidie kupiga bakari nondo laa sivyo itakuponza
Mkuu simama na taifa, ila sisi wengine tumechoka kutawaliwa kwa shuruti na ccm, na hawako tayari kwa mabadiliko.Hii Strategy ya kubeba mitutu sio mimi naunga mkono Maandamano yasiyo na kikomo kuliko kuliingiza Taifa langu nilipendalo kwenye Civil War na kama lengo ni kuliingiza Taifa kwenye civil war basi nitaachana na Vyama nitasimama na Taifa.
Watanzania hawa hawa ambao wakisikia tairi ya gari imepasuka wanajificha uvunguni, watathubutu kuingia front ? Pili. Tanzania kila pori linajulikana, watasakwa kote kote. Kwangu hiyo ni ngumu kutokea. Ni ndani ya jeshi tu hili likitokea nchi itapona. Bahati majeshi yote yamevaa rangi za Yanga.Mi ikipatkana SMG,Ak47,SAR,M16 nipewe moja wapo….Am more than ready.
Basi utapata mumeSina shda na mwanamke bro,ukombozi wa Taifa ndo muhmu kwa sasa.