zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Dance to his beats??? Kwani umesikia ameniajiri kwenye serikali yake ya mafisadi ??? oooh please give me a break!!Okey, but JPM is your president, legally and constitutionally, now if he's not a presidential material, just swallow it, he's a shot caller and you dance to his beats whether you like it or not.
Una personal vendetta, hautanielewa kuhusu jembe la watanzania JPM hata utakapokuwa sober.Dance to his beats??? Kwani umesikia ameniajiri kwenye serikali yake ya mafisadi ??? oooh please give me a break!!
Ndio nasema kama sio presidential material sasa mnatoka povu la nini kuwa lisu hawezi kuwa Rais???
Mnachekesha..... Hivi huyo magu wenu ana kipi anachomzidi lisu zaidi ya kipara??? Nitajie kimoja tu
Nasubiri
Any fool can be a president... MalemaNow that Tundu Lissu has made some progress in his convalescence, it is of no surprise that he has decided to get back into the fray.
He has done several interviews with both foreign and domestic media outlets, he has penned a letter from a Nairobi hospital bed, and lastly held a presser In Nairobi right before his voyage to Belgium. I wonder if we’ll also get a ‘letter from a rehab room in Brussels or wherever he’s at in Belgium. We shall see.
Having done all that, he is also now fair game. It’s now okay to respond to him, to attack him [not physically], to criticize him, etc.
Because he has basically picked up where he left off, I’m starting to hear some folks in certain quarters float his name as a potential 2020 presidential candidate. Perhaps these folks think he has shown he has what it takes to take on the JPM in the next presidential contest. That’s fine. Nothing wrong with that. If I were him I’d probably try to parlay the notoriety I’ve gained over these past two years into something bigger, like the presidency.
But I’ve said it so many times, right here and elsewhere, that he is not a presidential material. He is, at best, a political gadfly, and maybe, at worst, a rabble-rouser.
A presidential material, he is not.
Just my two cents from a distance. I wish you all a happy Sunday!
NB: HICHO KICHWA CHA MADA SIYO CHANGU. NI CHA KWAO JAMIIFORUMS. WAMENIBADILISHIA. SIKUBALIANI NA KITENDO CHAO.
Jembe kwa kulinganisha na nini??? Yaani unasema Rais magufuli jembe ila nkikuuliza anamzidi nini lisu unaniambia sipo sober??? Nchi yetu bhana...... Kwani umeshamjaribu lisu??? Hivi kipi ambacho magufuli amefanya ila lissu hawezi kukifanya??Una personal vendetta, hautanielewa kuhusu jembe la watanzania JPM hata utakapokuwa sober.
Usiku mwema.
Jembe kwa kulinganisha na nini??? Yaani unasema Rais magufuli jembe ila nkikuuliza anamzidi nini lisu unaniambia sipo sober??? Nchi yetu bhana...... Kwani umeshamjaribu lisu??? Hivi kipi ambacho magufuli amefanya ila lissu hawezi kukifanya??
Kiingereza hicho kinahitaji editing!!But I’ve said it so many times, right here and elsewhere, that he is not a presidential material. He is, at best, a political gadfly, and maybe, at worst, a rabble-rouser
Kiingereza hicho kinahitaji editing!!
Hahahhahaaa magufuli is just a pawn to kikwete and mkapa + CCM embezzlers like chenge no wonder till today we dont know who is behind richmond, simba trust, Tegeta Escrow, kagoda, deep green to name a fewUnlike Lissu, Magufuli is not sucking up to nobody. How about that?
Upo right mr. Ukiwachukua viongozi wote wa ccm na Lissu bado hawajamfikia Lissu. Lissu ni kichwa kingine aise. Magu hata sheria hajui, kupangilia hoja au kutetea hoja 0. Watu wakisema ukweli wanapotezwa.Dance to his beats??? Kwani umesikia ameniajiri kwenye serikali yake ya mafisadi ??? oooh please give me a break!!
Ndio nasema kama sio presidential material sasa mnatoka povu la nini kuwa lisu hawezi kuwa Rais???
Mnachekesha..... Hivi huyo magu wenu ana kipi anachomzidi lisu zaidi ya kipara??? Nitajie kimoja tu
Nasubiri
Lissu hatafaa tena kuwa Rais wa nchi hii maana ameshapata ulemavu wa kudumu
- Lissu atafaa kwa 2025 na sio 2020
Uwezo wa kuongoza ni zaidi ya kupangilia hoja, ni zaidi ya kutoa maoni yanayopingana na kinachofanywa na serikali.Upo right mr. Ukiwachukua viongozi wote wa ccm na Lissu bado hawajamfikia Lissu. Lissu ni kichwa kingine aise. Magu hata sheria hajui, kupangilia hoja au kutetea hoja 0. Watu wakisema ukweli wanapotezwa.
Ndio tunauliza je magufuli anauwezo wa kuongoza tuwe realistic is he a presidential material?Uwezo wa kuongoza ni zaidi ya kupangilia hoja, ni zaidi ya kutoa maoni yanayopingana na kinachofanywa na serikali.
Kwa malunywalunywa Lissu anazo sifa za urais lakini kwa wanaoyaelewa mambo, hana uwezo wa kushughulika na mambo mengine zaidi ya uga wa sheria.
Hayo yasema ww. Magu ni bora raisi kichwan hakuna kitu hapo. Mpaka sasa ameshapoteza watu ili kulinda uongozi wake na chama chake. Lissu ni kichwa kingine aiseee. Mpaka kijani kutaka kumuua unafikiri ni jambo la mchezo?Uwezo wa kuongoza ni zaidi ya kupangilia hoja, ni zaidi ya kutoa maoni yanayopingana na kinachofanywa na serikali.
Kwa malunywalunywa Lissu anazo sifa za urais lakini kwa wanaoyaelewa mambo, hana uwezo wa kushughulika na mambo mengine zaidi ya uga wa sheria.
dogo. Lissu Yuko Brussels anakutana na delegation ya EU. pia atakutana UN, IMF na Word Bank
kwa heshima aliyonayo ni zaidi ya uraisi wenu wa pale ferry kwenye harufu mbaya.
we pamoja na kuwa mtumwa wa kingereza uchwara, huwezi pata hiyo nafasi ya kukutana viongozi wa dunia.
hata bwanako magu hana ubavu sa kuzungumza na dunia