Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is not Presidential Material

Okey, but JPM is your president, legally and constitutionally, now if he's not a presidential material, just swallow it, he's a shot caller and you dance to his beats whether you like it or not.
Dance to his beats??? Kwani umesikia ameniajiri kwenye serikali yake ya mafisadi ??? oooh please give me a break!!

Ndio nasema kama sio presidential material sasa mnatoka povu la nini kuwa lisu hawezi kuwa Rais???

Mnachekesha..... Hivi huyo magu wenu ana kipi anachomzidi lisu zaidi ya kipara??? Nitajie kimoja tu

Nasubiri
 
Una personal vendetta, hautanielewa kuhusu jembe la watanzania JPM hata utakapokuwa sober.
Usiku mwema.
 
Now that Tundu Lissu has made some progress in his convalescence, it is of no surprise that he has decided to get back into the fray.

He has done several interviews with both foreign and domestic media outlets, he has penned a letter from a Nairobi hospital bed, and lastly held a presser In Nairobi right before his voyage to Belgium. I wonder if we’ll also get a ‘letter from a rehab room in Brussels or wherever he’s at in Belgium. We shall see.

Having done all that, he is also now fair game. It’s now okay to respond to him, to attack him [not physically], to criticize him, etc.

Because he has basically picked up where he left off, I’m starting to hear some folks in certain quarters float his name as a potential 2020 presidential candidate. Perhaps these folks think he has shown he has what it takes to take on the JPM in the next presidential contest. That’s fine. Nothing wrong with that. If I were him I’d probably try to parlay the notoriety I’ve gained over these past two years into something bigger, like the presidency.

But I’ve said it so many times, right here and elsewhere, that he is not a presidential material. He is, at best, a political gadfly, and maybe, at worst, a rabble-rouser.

A presidential material, he is not.

Just my two cents from a distance. I wish you all a happy Sunday!

NB: HICHO KICHWA CHA MADA SIYO CHANGU. NI CHA KWAO JAMIIFORUMS. WAMENIBADILISHIA. SIKUBALIANI NA KITENDO CHAO.
Any fool can be a president... Malema
 
Una personal vendetta, hautanielewa kuhusu jembe la watanzania JPM hata utakapokuwa sober.
Usiku mwema.
Jembe kwa kulinganisha na nini??? Yaani unasema Rais magufuli jembe ila nkikuuliza anamzidi nini lisu unaniambia sipo sober??? Nchi yetu bhana...... Kwani umeshamjaribu lisu??? Hivi kipi ambacho magufuli amefanya ila lissu hawezi kukifanya??
 
Unlike Lissu, Magufuli is not sucking up to nobody. How about that?
 
But I’ve said it so many times, right here and elsewhere, that he is not a presidential material. He is, at best, a political gadfly, and maybe, at worst, a rabble-rouser
Kiingereza hicho kinahitaji editing!!
 
I agree,you are right as you said,and so they are right as they say it about you,but do you know what else is right?He is better of than the incumbent and far Presidential material than you.He has earned his position of martyrdom and he deserves to be defended.About you I think you are starved of ideas and need to learn more about him than thinking more of the incumbent.After all the incumbent is the incumbent, so even if he is not presidential material you may not say it openly because you are just another coward.
 
Void of substance such an argument you put forth,hate speech i'd call it .Get a life , emancipate thyself from mental slavery you reek colonial mindset.
 
Unlike Lissu, Magufuli is not sucking up to nobody. How about that?
Hahahhahaaa magufuli is just a pawn to kikwete and mkapa + CCM embezzlers like chenge no wonder till today we dont know who is behind richmond, simba trust, Tegeta Escrow, kagoda, deep green to name a few

By the way when are they arresting the so-called signatories of the poor mining contracts!!! Kafumu chenge yona simbachawene etc.....????

Magufuli .... magufuli my foot!! Tell me what has he done that lisu doesn't have a capacity to surpass ???
 
Dance to his beats??? Kwani umesikia ameniajiri kwenye serikali yake ya mafisadi ??? oooh please give me a break!!

Ndio nasema kama sio presidential material sasa mnatoka povu la nini kuwa lisu hawezi kuwa Rais???

Mnachekesha..... Hivi huyo magu wenu ana kipi anachomzidi lisu zaidi ya kipara??? Nitajie kimoja tu

Nasubiri
Upo right mr. Ukiwachukua viongozi wote wa ccm na Lissu bado hawajamfikia Lissu. Lissu ni kichwa kingine aise. Magu hata sheria hajui, kupangilia hoja au kutetea hoja 0. Watu wakisema ukweli wanapotezwa.
 
It doesn't matter whether or not is a presidential material. Tundu Lissu is a patriotic citizen and that speak volumes. Very unfortunate our beloved country is full of hypocrites and boot lickers. You simply expose your ignorance.
 
Upo right mr. Ukiwachukua viongozi wote wa ccm na Lissu bado hawajamfikia Lissu. Lissu ni kichwa kingine aise. Magu hata sheria hajui, kupangilia hoja au kutetea hoja 0. Watu wakisema ukweli wanapotezwa.
Uwezo wa kuongoza ni zaidi ya kupangilia hoja, ni zaidi ya kutoa maoni yanayopingana na kinachofanywa na serikali.

Kwa malunywalunywa Lissu anazo sifa za urais lakini kwa wanaoyaelewa mambo, hana uwezo wa kushughulika na mambo mengine zaidi ya uga wa sheria.
 
Ndio tunauliza je magufuli anauwezo wa kuongoza tuwe realistic is he a presidential material?

Kma lisu hawezi je umetumia vigezo gani kumpima ilihali hajawahi kuwa Rais wa nchi???

Je unaweza nitajia vigezo vya presidential material??
 
Uwezo wa kuongoza ni zaidi ya kupangilia hoja, ni zaidi ya kutoa maoni yanayopingana na kinachofanywa na serikali.

Kwa malunywalunywa Lissu anazo sifa za urais lakini kwa wanaoyaelewa mambo, hana uwezo wa kushughulika na mambo mengine zaidi ya uga wa sheria.
Hayo yasema ww. Magu ni bora raisi kichwan hakuna kitu hapo. Mpaka sasa ameshapoteza watu ili kulinda uongozi wake na chama chake. Lissu ni kichwa kingine aiseee. Mpaka kijani kutaka kumuua unafikiri ni jambo la mchezo?
 
dogo. Lissu Yuko Brussels anakutana na delegation ya EU. pia atakutana UN, IMF na Word Bank

kwa heshima aliyonayo ni zaidi ya uraisi wenu wa pale ferry kwenye harufu mbaya.

we pamoja na kuwa mtumwa wa kingereza uchwara, huwezi pata hiyo nafasi ya kukutana viongozi wa dunia.
hata bwanako magu hana ubavu sa kuzungumza na dunia
 
Back
Top Bottom