Duh vipi?Duh
Weka hiyo audio Ili uzi usiunganishwe
Kwako FaizaFoxy 😂
kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili.
Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.
Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde.
Mod umuhimu wa mjadala huu usiunganishe wala kuudelete
Tundu mkiristo lkn ni mtu ambae muadilifu.kwani kwakwambia anagombea urais?kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Ni vichaa pekee ndiyo wanaweza kusimama na IsraelAkiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili.
Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.
Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup mbali mbali duniani
Mod umuhimu wa mjadala huu usiunganishe wala kuudelete
NB
ONA JUU JESHI LA ISREAL WAKIMKABA MTOTO.WA KIPALESTINA.
CHINI HAMAS ALIVYOMSHIKA MTOTO WA ISREAL KWA UNYENYEKEVU NA UPOLE MKUBWA
View attachment 2825066
namjua TL kuliko wewe unayemfahamia kwenye mitandao na tv. nakushauri nyamaza tu.Tundu mkiristo lkn ni mtu ambae muadilifu.kwani kwakwambia anagombea urais?
Tondu list kwani anagombea uraisi American au Tanzania, Lisa hana sera za kushinda lakini angekuwa nazo hata angewasema Israel atashinda tu.kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Mumeo?namjua TL kuliko wewe unayemfahamia kwenye mitandao na tv. nakushauri nyamaza tu.
Tundu lissu daima yeye haangalii mtu anasema ukweli tuTondu list kwani anagombea uraisi American au Tanzania, Lisa hana sera za kushinda lakini angekuwa nazo hata angewasema Israel atashinda tu.
Hahaha Lissu kuwatete Palestina yamekutoka yote hayo.kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Hata Kama Humpendi Anachosema Ni Ukwelikwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Kabisa yaani na tena uwe na roho ya shetani mkuukuitetea israel yakupasa ujitoe ufahamu
We mlokole una tabu sanakwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.