Tundu Lissu: Israel ni watu makatili. Hamas wana haki ya kujilinda kwa wanavyofanyiwa

Kitu ninachokiona hapa ushabiki Ni mwingi kuliko kinachoendelea. Kwanini watu waone Ni haki Hamas kutumia roketi kuua waisrael na Israel ikijibu isiwe haki pia?.
 
Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili.
Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.

Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup mbali mbali duniani
Mod umuhimu wa mjadala huu usiunganishe wala kuudelete
NB
ONA JUU JESHI LA ISREAL WAKIMKABA MTOTO.WA KIPALESTINA.
CHINI HAMAS ALIVYOMSHIKA MTOTO WA ISREAL KWA UNYENYEKEVU NA UPOLE MKUBWA
View attachment 2825066
Em muulize huyo Tundu kama alishawahi kusoma yaliyomo ndani ya Koran kuhusu mahusiano ya waumini wake na dini zingine..

Kwa mujibu wa mafundisho ya dini yao, hao Hamas na washirika wao ni lazima wawachukie watu wa dini zingine zote akiwemo yeye TL

1700945419937.png
 
kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Haters
 
Kitu ninachokiona hapa ushabiki Ni mwingi kuliko kinachoendelea. Kwanini watu waone Ni haki Hamas kutumia roketi kuua waisrael na Israel ikijibu isiwe haki pia?.
We hu mgogoro unaona kwa juu ,kwa reference ya tokeo la 7 October. Lakin miezi 3 kuna wapalestina walikuwa wameuwa na kufungwa ni vitendo vya kila siku na dhuluma siku zote lazima iwe na price to pay
 
Ninaamuru Tundu lisu avunjwe mguu wa pili
 
Mimi ni Chadema, ila alichokisema Tundu Lissu sikiafiki hata kidogo. Na tena nilikuwa mshabiki na mfuasi kindaki Ndaki wa Tundu Lissu ila kwa hili.....
 
Na hapa bongo tumejitoa ufaham hasa kuuhsu hao waesraeli , eti n bora kuliko sis
Baada ya kuua mitume na manabii na wengine kuwakataa.walilaaniwa.shughuli image ukiangalia uarabuni kwa mtoto wa jangwani. Sasa hawaamini.
 
Nilisema viongozi wa Israel watashtakiwa tu huko mbeleni... Ni makatili sana.
 
Israel ni taifa la shetani,wamewashika wapumbavu Hasa walokole
Paroko wetu mwenyewe leo kasema Israel hii siyo taifa Teule la Mungu,walipoteza sifa hiyo zamani sana.
Israel ni mashetani.
Waislam msiiguse hii komenti yangu Maana haihusiani na dini yenu,nyie na mayahudi wote makatili tu.
 
kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Ujinga mzigo mzito hasa ukikufikia,kwa hiyo nchi hii inaongozwa na hao malaika sio?Huoni mwenge unaopita kila mwaka unadhani ni malaika hao au Ujinga tu umekujaa na uccm.
 
kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Wewe kweli una akili fupi kwahiyo kila mtu asapoti ule ushetani wa israel ? Hao wayahudi wenyewe hawataki kusikia huo ushetani wa netanyahu na wameanzisha hashtag #not in our name# hawataki jews watumike kwa mambo ya ushetani halafu wewe wa ileje huko unajifanya eti waisrael sijui nini acha mentality ya kitumwa, muache lissu aongee na amewakilisha mawazo ya wapigania haki wote akiwemo nyerere, mandela na sisi wengine
 
Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili. Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.

Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup mbali mbali duniani
'Radio One Arusha', kama kweli ipo, ni wezi wa kazi za kitaaluma za watu wengine. Mimi sijawahi kufanya mahojiano yoyote na Radio One Arusha. Hiki walichokiwekea logo ya Radio One Arusha ni mahojiano niliyofanya na Kenya Television Network (KTN) nikiwa Nairobi tarehe 10 ya mwezi huu. Wameondoa video wakabakisha audio ili wizi wao usigundulike. Shame on them, wezi wakubwa!!!
 
kwa bahati mbaya, ameongea pumba tupu. Tundu Lisu anajaribu kukusanya kura za wanaosapoti palestina, ni mbinu nzuri kwake lakini hajui kwamba ukiingia uadui na Israel hakuna aliyewahi kufanikiwa. hakika Tundu Lisu hatafanikiwa kuwa Rais milele. mark my words. ni opportunist, anaweza kufanya lolote ili apate kitu. mroho, ndio maana alipokutana na mama cha kwanza aliomba alipwe pesa zake za ubunge kwanza ili tumbo lake lishibe ndo mengine yaendelee. ndio maana kwenye kitabu cha Dr.slaa TL alionekana kutoa ushauri kwamba WAINGIE MKATABA NA SHETANI HATA KWA GHARAMA YEYOTE ILIMRADI WAKAMATE NCHI, yupo tayari kutoa garama yeyote kwa shetani alimradi atakuwa rais au chadema itachukua nchi. Mbowe ameshamshtukia na ngoja tuone wanaishia wapi.
Inajulikana wazi Tundu Lisu ana matatizo ya akili.Kadiri muda unavyoenda Tundu anazidi kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Waisrael ni wangese na followerer wao pia ni wangese. Over

Am a Christian lakn kwa anachokifanya huyo anaejiita teure ni upuuzi kabsa tena upuuuzi haujawai tokea chini ya hili jua
 
Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili. Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.

Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup mbali mbali duniani
Acha kutengenezewa maneno ya uwongo
 
Back
Top Bottom