Tundu Lissu: Israel ni watu makatili. Hamas wana haki ya kujilinda kwa wanavyofanyiwa

Tundu Lissu: Israel ni watu makatili. Hamas wana haki ya kujilinda kwa wanavyofanyiwa

Mie nitasimama na Mungu na kizazi changu sisimami na mtu yeyote naishi kwa ajili ya Mungu hakuna duniani mtu ninayeweza kumpigania maana sinachakumpa wala watu wakumsaidia so nawachukia wote wapalestina na waisraeli hakuna ninao wapenda kwa sababu wanauana kwa kukosa maarifa. Ukimkubali YESU AWE BWANA WA MWOKOZI WAKO UPO JUU .
 
Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili. Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal.

Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup mbali mbali duniani
Wanasiasa hawaongeagi yatokanayo na kile wanachoamini. Bali huangalia uelekeo wa kura hahhaaa.
 
Back
Top Bottom