Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Enzi za ayattolah Mbowe mwanzisha hizi nyuzi alikuwa Erythrocyte .Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema
Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini
Ngoja tumsikie.
Fuatilia live hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=J254F4V0YWE
Including your mom, OK? sitaki matusi ya leja lejaUmepaniki sana. Bado huamini? Nenda kaishi na mbowe awe mwenyekiti wa mahusiano yenuπ€£
mfumo upi?Mfumo tunaopiga vita kwenye serikali na vyama vya siasa
Mpaka leoEnzi za ayattolah Mbowe mwanzisha hizi nyuzi alikuwa Erythrocyte .
Meza wembe mkuuMropokaji ataongezewa, na hakuna wakumpeleka nairobi
Mtatangaziwa.Maandamano lini
Kwani kwenu matusi ni nn? Malaria ishapanda kichwaniKwenu matusi nini?
Mbowe kaitwa mlarushwa na lissu? DahKwani kwenu matusi ni nn? Malaria ishapanda kichwani
Wanawe watatoka Belgium kuja kuandamana?Mtatangaziwa.
SINA CHUKI NA LISU, HATA KIDOGO NA ALIKUWA MWANASIASA BORA KATIKA TANZANIA KWANGU. KUMBE KAA NAO UWAJUE.... NI USHENZI ALIOUNESHA KATIKA KAMPENI. BASI NI LO TUMeza wembe mkuu
Jamaa nyota imewaka haswaKama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015, huu ni mwaka wa Tundu Lissu.
Kila anachokigusa ni dhahabu!
Acheni ukabilaHahahaha... Wamestaafu mdomoni wana makundi bado
Rushwa aliyosema Lissu kutoka ccm ni kweli kabisa ilikuwepo, January makamba kuna siku alileta rushwa usiku Kwa wajumbe waliokuwa wamepangiwa hotel tiptop manzenseSINA CHUKI NA LISU, HATA KIDOGO NA ALIKUWA MWANASIASA BORA KATIKA TANZANIA KWANGU. KUMBE KAA NAO UWAJUE.... NI USHENZI ALIOUNESHA KATIKA KAMPENI. BASI NI LO TU
Kumbenyinyi ndio mnaojibu hoja za kisiasa kwa kwa risasiMropokaji ataongezewa, na hakuna wakumpeleka nairobi
π π π Minyumbu ya Mbowe mnahahaataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Wewe unaona hizo ni sifa kwa kiongozi wenu wa miaka 21? Wafuasi wa chadomo mna matusi sana na kejeli sana.Kwahiyo hayo ndio matusi, jinga kabisa veve
Let us wait and seeLissu anakuja kushughulika na Rais Samia
Hukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??
Kiufupi Chadema ndio inaanza kujijenga upya kabisa kama Chama Cha siasaLet us wait and see