Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema

Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini

Ngoja tumsikie.

Fuatilia live hapa

View: https://www.youtube.com/watch?v=J254F4V0YWE

Enzi za ayattolah Mbowe mwanzisha hizi nyuzi alikuwa Erythrocyte .
 
SINA CHUKI NA LISU, HATA KIDOGO NA ALIKUWA MWANASIASA BORA KATIKA TANZANIA KWANGU. KUMBE KAA NAO UWAJUE.... NI USHENZI ALIOUNESHA KATIKA KAMPENI. BASI NI LO TU
Rushwa aliyosema Lissu kutoka ccm ni kweli kabisa ilikuwepo, January makamba kuna siku alileta rushwa usiku Kwa wajumbe waliokuwa wamepangiwa hotel tiptop manzense
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
😂 😂 😂 Minyumbu ya Mbowe mnahaha
 
Aaaaahah.....sasa hizo mbona ni sifa si matusi. Ni rahisi tu Mbowe aseme hajalamba asali. Upande wa Rushwa hasa wakati wa uchaguzi hiyo.... Imetolewa na nina jamaa amekula 300,000 kipindi kile ampigie simu Mbowe. Nlimwambie ampigie maana alichukua pesa yake....sijui kama alitimiza. Hayo si matusi Zakayo.
Hukusikia alivyokua anamwita mlamba asali, mtoa rushwa na mpokea rushwa??
 
Back
Top Bottom