technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania
Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.
Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania
Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama
Akashinda halafu CCM ikamsimamisha Samia 2025
CCM watapigwa pigo takatifu sana
Huyu jamaa ni jeshi la mtu mmoja Kama Trump haitaji machawa ila atahitaji watu Kama 1000 hivi ambao wapo tayari kujitoa kufanya siasa za kweli sio siasa biashara
Zile kelele zote za anaupiga mwingi zimekufa kifo Cha mende kweli Mungu akikuchagua hakuna mwanadamu wa kukuzuia.
Lissu ndiye Rais ajaye 2025!!