Pre GE2025 Tundu Lissu kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania

Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.

Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama
Akashinda halafu CCM ikamsimamisha Samia 2025
CCM watapigwa pigo takatifu sana

Huyu jamaa ni jeshi la mtu mmoja Kama Trump haitaji machawa ila atahitaji watu Kama 1000 hivi ambao wapo tayari kujitoa kufanya siasa za kweli sio siasa biashara

Zile kelele zote za anaupiga mwingi zimekufa kifo Cha mende kweli Mungu akikuchagua hakuna mwanadamu wa kukuzuia.

Lissu ndiye Rais ajaye 2025!!
Ahaaahaaaaa, sio Lissu ni CDM ndio inavuma na CCM imesahaulika kabisa.
 
Msimamo wa Lissu ni "no Reforms no Election" akishinda nafasi ya Uenyekiti mapema January 2025 ambao ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Mimi ushauri wangu kwa Lissu tupambanie REFORMS lakini tuingie kwenye Uchaguzi halafu wakiiba ndio "Spark" ya kuwatoa hao kwa nguvu ya Umma. Madai yetu ni kwamba hawana Legitimacy ya kuiongoza Nchi kwa kuiba Uchaguzi.
 
Huyu jamaa ni jeshi la mtu mmoja Kama Trump haitaji machawa ila atahitaji watu Kama 1000 hivi ambao wapo tayari kujitoa kufanya siasa za kweli sio siasa biashara
Nashukuru sana kwa maneno ya mstari huu.

Hapana, tusiwahitaji idadi hiyo (1000) pekee; tuna hitaji jeshi zima la waTanzania walio dhamiria kabisa kuisimamia hadhi na heshima ya nchi yao, tokea sasa na kwenda mbele. Huu uwe ni mwanzo wa marekebisho ya kuisukuma mbele Tanzania katika juhudi zake za kutafuta maendeleo ya watu wake.
 
Msimamo wa Lissu ni "no Reforms no Election" akishinda nafasi ya Uenyekiti mapema January 2025 ambao ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Mimi ushauri wangu kwa Lissu tupambanie REFORMS lakini tuingie kwenye Uchaguzi halafu wakiiba ndio "Spark" ya kuwatoa hao kwa nguvu ya Umma. Madai yetu ni kwamba hawana Legitimacy ya kuiongoza Nchi kwa kuiba Uchaguzi.
Elewa vizuri maana ya kinacho semwa na hayo maneno anayo yatamka Lissu. Hana maana ya "kususia /kutoshiriki" uchaguzi.
 
Alikuwa anasema kama hakuna Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi na kwamba Tume ya Uchaguzi siyo HURU hakuna haja ya kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Iko Clip moja ilikuwa inazunguka humu mimi nimemuelewa hebu na wewe msikilize vizuri.
 
Kumbuka:-
1. Tume-mtu (siyo tume huru) ndiyo itakayosimia uchaguzi.
2. Policcm ndiyo watakaolinda masaanduku ya kura.
3. Wakurugenzi wote wameteuliwa kwa connection ya Abdul.
Utakuja kushangaa sana jinsi ya hao wote wanao tisha leo wanavyo weza kubadilika haraka sana.
Hao wote ulio wataja, usisahau wameshikiliwa na wateule wachache sana huko juu. Hao wakisha dhibitiwa; huku chini ni kulala kwenye mstari tu , basi.

Ni mithili ya jeshi vitani. Kujisalimisha hao wa chini ni jambo jepesi kabisa.
 
Alikuwa anasema kama hakuna Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi na kwamba Tume ya Uchaguzi siyo HURU hakuna haja ya kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Iko Clip moja ilikuwa inazunguka humu mimi nimemuelewa hebu na wewe msikilize vizuri.
Lakini hajasema kuwa itaishia hapo, au?
Siyo kila kitu ni lazima kisemwe chote kwa wakati mmoja.
 
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania

Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.

Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama
Akashinda halafu CCM ikamsimamisha Samia 2025
CCM watapigwa pigo takatifu sana

Huyu jamaa ni jeshi la mtu mmoja Kama Trump haitaji machawa ila atahitaji watu Kama 1000 hivi ambao wapo tayari kujitoa kufanya siasa za kweli sio siasa biashara

Zile kelele zote za anaupiga mwingi zimekufa kifo Cha mende kweli Mungu akikuchagua hakuna mwanadamu wa kukuzuia.

Lissu ndiye Rais ajaye 2025!!
Lissu ndiye daktari wa siasa, CCM hawaamini macho yao!
 
BBC na Deutsch welle tangu mchana
 
Huoni Mpanga mahususi uliosukwa na wanausalama ili kufifisha hoja ya wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Nilipandisha uzi humu kuhusu swala hilo mods wakaufuta chupuchupu, nadhani hata humu tumeishaingiliwa
Sasa inahusiana vipi na kalenda ya uchaguzi wa chama! Ina maana uchaguzi wa chama ungeaihurishwa Ili mjadala wa wizi wa kura ukae mezani? Hivi Huwa mnafikiri kabla ya kuandika?
 
Joseph Stalin alisema nani anapiga kura si muhimu kama nani anahesabu kura.

Augustine Lyatonga Mrema alishashinda uchaguzi Dar 1995 matokeo yakabatilishwa na uchaguzi ukarudiwa.

Kura yangu ikapotezwa.

Nikaona hii nchi kupiga kura si deal, nikapiga kura kwa miguu yangu kuitafuta Vingunguti njia panda ya Ulaya.
 
Kweli kabisa tundu lissu anamvuto wa ajabu sana,watu wote wenye chama,wasokuwa na vyama,wanamwongelea yeye tu,iwe kwa wema au vibaya,ana nyota kali huyu jamaa.
alipewa hadhi ya mfalme wa pori (Simba) sio jambo dogo. she did it unconsciously but with deep meaning behind!!!!
 
Sasa inahusiana vipi na kalenda ya uchaguzi wa chama! Ina maana uchaguzi wa chama ungeaihurishwa Ili mjadala wa wizi wa kura ukae mezani? Hivi Huwa mnafikiri kabla ya kuandika?
Una uelewa mdogo sana wa mambo, nyamaza usiumbuke
 
Back
Top Bottom