Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Duuh
 
Ngonjera tu hizo. Mbowe ndio aliwaweza ccm kimbinu
 
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..

Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?

Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)

Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
 
Dogo povu la nini sasa? Kama unajiamini inakinikisha halafu uone ndio utajia ya kwamba sie kula kulala bure (KKB) ni Wazalendo wa nchi kuliko wewe! Karibu tu!
 
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Aanze na mamaake ndotutafuata.cc waungwana
 
Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..

Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?

Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)

Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?
 
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Endelea kuwa mjinga hivi hivi

Hata Ufaransa walikuweko wajinga kama wewe, hata kule kwa Gadaf, kulikuweko watu aina yenu kibao

Usijisahau ukaacha kutokutofautisha siku na siku

Hata mwaka unayo majira yake

Hata majambazi ya kule Congo yaani M23, hawakutokea tu kuwa majambazi, sababu ipo iliyowafanya wawe majambazi

Kumbuka, Asubuhi haiwezi kuwa jioni! Elewa sana Maalimu
 
Endelea kuwa mjinga hivi hivi

Hata Ufaransa walikuweko wajinga kama wewe, hata kule kwa Gadaf, kulikuweko watu aina yenu kibao

Usijisahau ukaacha kutokutofautisha siku na siku

Hata mwaka unayo majira yake
Acha longolongo Dogo, muingje kati tulicheze Segere?
 
uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?
Watanzania baadhi ni WAPUMBAVU kwani ku protest kitu ni mpaka vurugu?

Maandamano yanawezekana bila fujo Wala vurugu...chanzo Cha vurugu huwaga ni CCM kuleta hofu kwa jamii kuona vyama vya upinzani ndio maadui wa taifa kumbe maadui wa taifa ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.

Mimi sio COMAN njia pekee ni kufanya GOSPEL YA UKOMBOZI ili walio lala Kama wewe waamke..dunia imepata VIONGOZI tough kina trump usitegemee Tena misaada ya USA ie ARVS e.t.c

Kaibeni chaguzi 2025 muone jumuiya za kimataifa zitawanyima misaada ndipo mtaenda kukopa kwa mariba mpaka nchi ipigwe mnada Kama ndugai alivyo SEMA..

Ndio maana hii nchi ingekua ni ya jamii ya watu kutoka mkoa wa Mara ujinga ujinga MWINGI usinge kuwepo
 
Back
Top Bottom