Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Time will tell. Maskini na kapuku kama Lissu HAWEZI kufanya chochote nchi hii.Mpaka anaongea amesha calculate mjuzi wewe wa buza ungetulia tu. Huyu ndiye wakutuvusha ng'ambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time will tell. Maskini na kapuku kama Lissu HAWEZI kufanya chochote nchi hii.Mpaka anaongea amesha calculate mjuzi wewe wa buza ungetulia tu. Huyu ndiye wakutuvusha ng'ambo
Dogo zinakutosha kweli? Huyo niliyemjibu aliisemea Tanzania? Mugabe ni wa Tanzania? Mobutu ni wa Tanzania? Hosni Mubarak ni wa Tanzania? PUMBAVU!!!Unasemea nchi zingine mbona sasa.
Wanajeshi na police wako wangapi nnchi hii na raia wako wangapi?uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?
Mabadiliko ya kudumu hayaletwi na watu, yanaletwa na mfumo. Mfumo wa uchaguzi ukiwa huru ile kweli na wa uwazi., chama chochote tawala kitakua kinajua hakina hati miliki ya nchi. Na ndio hapo watakapoanza kuacha ujinga na uchawa uliopitiliza.Mie mwanamageuzi pia. Lkn kwenye hizi siasa zetu waafrika kila mtu anachumia tumbo lake.
Unadhani kwamba ndio akija kuwa rais from chama kingine ndio kutakuwa na maajabu!? Thubutuuu. Sio kwa Africa hii, hao wanasiasa lugha tamuuuuu ila roho zao mbovu km mashetani. Wotee
Wewe ni kipi uliwahi kuanza na mamako ndio wengine tukuige?Aanze na mamaake ndotutafuata.cc waungwana