Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hosni Mubarak, Muamar Gadaffi, Jean Bedel Bokasa, Robert Mugabe, Joseph Mobutu , Omar Al Bashir walisema hivi hivi.

Wapo wapi leo?
Julius Malema, Kiiza Besigye, Raila Odinga, Morgan Tsivangirai wakisema zaidi ya Lissu kutishia viongozi walipo madarakani. Walipata chochote???
 
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
serikali ya ccm itaenda kujipigia kura yenyewe october. Mtauita uchaguzi wa chama sio uchaguzi mkuu
 
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Kumekucha
 
Shikilia hapohapo Lissu. Kuendelea kushiriki uchaguzi wa kitapeli iwe mwisho.
 
Julius Malema, Kiiza Besigye, Raila Odinga, Morgan Tsivangirai wakisema zaidi ya Lissu kutishia viongozi walipo madarakani. Walipata chochote???
Ni suala la muda tu.

Madaraka ni kitu cha muda , na muda ukifika unatoka hapo mtoe Morgan Tsvangirai na Odinga hao walipata "nusu mkate" .

Hao waliobaki bado wapo kwenye harakati ni suala la muda , maana kina Al Bashir walidhani watakuwepo madarakani daima maana kuanzia kwenye utumishi wa ikulu hadi ngazi ya chini walijaza makada wa chama kama CCM

Jana nimeshangaa naona post ya mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu Sharifa Nyanga anapost mambo ya CCM mpaka unashangaa mtumishi wa umma anayelipwa pesa na wananchi anawezaje kuside kwenye chama cha siasa.
 
Aa
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Unazuia uchaguzi wewe kama nani?Uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa katiba na kura yangu nawapa ACT
 
CCM tumekuwa wapole sana mitandaoni. Sasa hivi ni an eye for an eye! Acha kujibu. Mtafute Erythrocyte mjibizane.
Mwenyezi-Mungu yuko pamoja na wenye haki,atawasambaratisha watoa rushwa. Hatuwaogopi watu waovu kama ma-ccm.
 
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Mpaka anaongea amesha calculate mjuzi wewe wa buza ungetulia tu. Huyu ndiye wakutuvusha ng'ambo
 
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

Ndugu Tundu Lissu yuko kazini.....anaowatumikia wamedhamiria kuiondoa amani yetu.....wanaionea wivu Tanzania.......

Utulivu wa Tanzania unaifanya kuwa ni CHAMPION wa kutatua matatizo ya KONGO yaliyosababishwa na WABELGIJI rafiki zake Tundu Lissu kule BRUSSELS.....

Ni zama mpya na wamekuja na mipango mipya ya kutuingiza matatizoni kisa DEMOKRASIA.....

Tusikubali uzwazwa huu.....
Tusikubali kuwa Sudan.....

#Nchi na taifa kwanza kwa njia yoyote iwayo!
 
Gentleman,
ukibaka na utapeli wa kisiasa haibadiliki kama illivyo unapoitamka chadema au ccm. Au kusema chadema kwenye reply moja kwenye reply ya pili inakua sio chadema?

ukibaka na utapeli wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu, kwa kiongozi mpya wa chadema ni identity yake mpya, ni brand yake, ni agenda yake muhimu tangu kuingia uongozini, unawezaje kuibadili kwa mfano? :NoGodNo:
Gentleman naona CCM imekupofusha macho na fikra..

Gentleman nimekuuliza kwanini hamtaki katiba mpyaa? Kwanini hamtaki tume huru ya UCHAGUZI??

Angalia wewe umejibu Nini? Gentleman naona leo haupo sawa pumzika kunywa vinywaji tililika Sana Sana H20 kwa wingi Sanaa pia pata muda wa kupumzika.

Nikutakie wakati mzuri na mwema maana upo out of point. Unaulizwa kuhusu kaptula wewe unajibu kuhusu gauni which is which ☺️😊

Umenikumbusha kuhusu mwalimu mmoja Sasa ni hayati pale u boyzin high school aliulizwa kuhusu upotevu wa vyakula/ chakula Katika store ya shule alipo takiwa kujibu yeye akaanza kuongelea usafir wa daining hall na dormitories...

Pata muda wa kunywa maji mengi na kupumzika..
 
Gentleman naona CCM imekupofusha macho..

kibaka hawezi kunitapeli gentleman,

andika bandiko mahususi kwenye uzi maalumu dhidi ya ambacho ungependa kupata ufafanuzi mujarabu, kutoka kwangu na kwa wadau muhimu wa JF,

Muhamoud Yussuph wa DJBUTI ndie mwenyekiti mpya wa AUC baada ya Raila Odinga kujiondoa :pedroP:
 
Back
Top Bottom