Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Mkuu punguza hasira maana wewe ni mnufaika wa wizi na ufisadi unaoendelea kwenye Halmashauri zetu.Aanze na mamaake ndotutafuata.cc waungwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu punguza hasira maana wewe ni mnufaika wa wizi na ufisadi unaoendelea kwenye Halmashauri zetu.Aanze na mamaake ndotutafuata.cc waungwana
Nape na yule aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido walishatuelezea vizuri sana namna CCM walivyobaka mfumo wa uchaguzi nchini.Hoja za lisu zijibiwe na wenye akili na sio nyie machawa.
Watz wamechoshwa na hizi chaguzi za mchongo zinazotupatia viongozi wala rushwa na sio wazalendo.
Tunahitaji viongozi wapatikane kwa haki na uwazi
sasa gentleman mambo ya tasfiri si bakita ndio wanahusika,Utapeli wake ni upi gentleman 😊
Tuanze na kunipa tafsiri ya utapeli wa lissu?
Ni Nini kinawafanya vijana wenye akili na weredi Kama wewe kuto kuona mapungufu ya chama chenu na kushaur na kuyatekeleza?
Mara zote kwanini mkiambiwaga ukweli mnaanza projects za kutukana,kushusha utu, kudhalilisha na hata kuwapa kesi za madawa ya kulevya, uhujumu uchumi na hata kuuwa watu?
Kwanini CCM haitaki tume huru ya UCHAGUZI? Kwanini hamtaki katiba mpyaa?? Ni Nini hofu yenu wana CCM na selikali yenu kwa ujumla?

Gentleman naona umeandika maneno mengi Sasa☺️😊 mpaka sijayaelewa.sasa gentleman mambo ya tasfiri si bakita ndio wanahusika au ungeandika uzi mahususi kuhusu ukibaka na utapeli wa huyo kiongozi mpya omba omba pesa wa chadema?
mimi sina haja kumtukana mtu gentleman,
ila kama kusema ukweli ndio kutukana kwenywe basi hapo nitaongeza juhudi zaidi bila kubabaika kupata tafsiri ya kama mtu kua kibaka au tapeli wa siasa ni kutukana,
hata hivyo,
ikiwa kuna mtua ana hitaji maelezo, uchambuzi au uafafanuzi kuhusu mambo ya vyama vingine vya siasa, aandike uzi tu,
but utapeli na kuombaomba kuchangiwa pesa za kujikimu mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi ni fedheha kwa ndugu, jamaa na marafiki, ni tabia mbaya sana![]()
Mbowe amekutolea mahari au mnaendekeza uzinzi tu?Ngonjera tu hizo. Mbowe ndio aliwaweza ccm kimbinu
gentleman,Gentleman naona umeandika maneno mengi Sasa☺️😊 mpaka sijayaelewa elewaa..
Basi nijibu hili,
Kwanini CCM haitaki tume huru ya UCHAGUZI? Kwanini hamtaki katiba mpyaa?? Ni Nini hofu yenu wana CCM na serikali yenu kwa ujumla?

Mtoto wa shule unachimba mikwara?Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Huo ndiyo ukweli "HAKUNA MAGEUZI YASIYO NA UCHUNGU"Wakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
Huku ndiko kujibu hoja au naona unarudia rudia maneno ukibaka, ujanja ujanja, utapeli n.kgentleman,
huwezi elewa chochot ikiwa hutaki kosoma ukweli juu ya ukibaka na utapeli wa kisiasa wa kiongozi mpya wa chadema.
hata hivyo,
bado nasisitiza,
ikiwa kunahitajika ufafanuni, uchambuzi au maelezo mahususi kuhusu siasa za Tanzania, chama kingine cha siasa au serikali sikivu ya CCM,
basi,
andika uzi mahususi jukwaani na bilashaka utapata uelewa na ufahamu wa kutosha zaidi kutoka kwa wadau wa JF kuliko kujificha kwenye hoja nyingine![]()
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Gentleman,Huku ndiko kujibu hoja au naona unarudia rudia maneno ukibaka, ujanja ujanja, utapeli n.k
Mbona swali langu ni jepesi TU nimesema.
Kwanini hamtaki katiba mpyaa? Kwanini hamtaki tume huru ya UCHAGUZI?

Walaaa! Ninyi na Lissu si mmemaanisha? Kinukisheni tuone. Mnasubiri nini?Mtoto wa shule unachimba mikwara?
Karibuni. Tupo tunawasubiri.Chama hiki cha kihuni na majambazi cha CCM, kuna ulazima wa kutumia kila njia kuhakikisha hakiendelezi ushetani wake. Wananchi tujiandae kupambana na mashetani wa CCM
😱🤧Wakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
TUTAFURAHI KUKUONA WEWE LISSU NA MKEO NA WANAO KWENYE MAANDAMANO, UKIJITOKEZA MWENYEWE BILA FAMILIA YAKO SISI WAKURIA WA KUKODIWA HATUTAANDAMANA.Wakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
Hosni Mubarak, Muamar Gadaffi, Jean Bedel Bokasa, Robert Mugabe, Joseph Mobutu , Omar Al Bashir walisema hivi hivi.Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Dogo,TUTAFURAHI KUKUONA WEWE LISSU NA MKEO NA WANAO KWENYE MAANDAMANO, UKIJITOKEZA MWENYEWE BILA FAMILIA YAKO SISI WAKURIA WA KUKODIWA HATUTAANDAMANA.