Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dogo povu la nini sasa? Kama unajiamini inakinikisha halafu uone ndio utajia ya kwamba sie kula kulala bure (KKB) ni Wazalendo wa nchi kuliko wewe! Karibu tu!
Nilijua najadili na mtu wa maana kumbe wewe bogus. Nikikujibu Tena nikamatwe Mara moja nipelekwe mirembe.

Sina Cha kujadili Tena na wewe endelea kuupa huo MWILI mateso maana umebeba pumpkin badala ya kichwa ( Brain)

Your too Naive.
 
unawajua wahuni au unaropoka tu? Chadema ni taasisi ya kisiasa kama ccm tu, wana hoja wajibiwe kwa hoja
Lissu ametaka hoja kwamba ataidai haki kwa shuruti sio? Mimi nasema akiidai kwa shuruti tutakutana huko huko! Kosa langu lipi?
 
Nilijua najadili na mtu wa maana kumbe wewe bogus. Nikikujibu Tena nikamatwe Mara moja nipelekwe mirembe.

Sina Cha kujadili Tena na wewe endelea kuupa huo MWILI mateso maana umebeba pumpkin badala ya kichwa ( Brain)

Your too Naive.
CCM tumekuwa wapole sana mitandaoni. Sasa hivi ni an eye for an eye! Acha kujibu. Mtafute Erythrocyte mjibizane.
 
Mabadiliko unayataka wewe na Lema, wengi watz washaridhika na Samia
Naona malaria imekupanda kichwani...hakikisha unamaliza DOZI kabla ya kuchangia hapa jukwaani.

Hofu kubwa ya CCM ni mabadiliko yakisikia tume huru yanajambiana yakisikia katiba mpyaa yanatokwa na haja zote mbili kwa mpigo.
 
Bahati nzuri CHADEMA wameonesha ni namna gani uchaguzi unapaswa kuendeshwa.
Mwenye anakubalika na watu, ndo anapaswa kukalia kiti.
Hatutaki tena kuwekewa watu wasio na mvuto, watuongoze.
CCM mjipange upya.
Mtu wenu akubaliki na walio wengi.
 
Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Hoja za lisu zijibiwe na wenye akili na sio nyie machawa.
Watz wamechoshwa na hizi chaguzi za mchongo zinazotupatia viongozi wala rushwa na sio wazalendo.
Tunahitaji viongozi wapatikane kwa haki na uwazi
 
Unadhani Jeshi litaendelea kuwa makondoo kwenu CCM na wanavyoona hivi mnafanya ufisadi wa kutisha kuliibia Taifa?
Hawa wajinga wanadhani jeshi litawabeba daima dumu?
Watz wakiamua hakuna cha jeshi wala viroboto kuzuia mabadiliko
 
Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..

Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?

Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)

Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
Mie mwanamageuzi pia. Lkn kwenye hizi siasa zetu waafrika kila mtu anachumia tumbo lake.
Unadhani kwamba ndio akija kuwa rais from chama kingine ndio kutakuwa na maajabu!? Thubutuuu. Sio kwa Africa hii, hao wanasiasa lugha tamuuuuu ila roho zao mbovu km mashetani. Wotee
 
Wakuu,

CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.

Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti

Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha

ucahguzi hauwezi kuzuiwa na kibaka au tapeli wa siasa kama huyo gentleman :pedroP:
 
Vijana zaidi ya 10 millions ninaona wanajiandikisha bila kujali vyama vyao. Lengo lao ni nini?
 
Mie mwanamageuzi pia. Lkn kwenye hizi siasa zetu waafrika kila mtu anachumia tumbo lake.
Unadhani kwamba ndio akija kuwa rais from chama kingine ndio kutakuwa na maajabu!? Thubutuuu. Sio kwa Africa hii, hao wanasiasa lugha tamuuuuu ila roho zao mbovu km mashetani. Wotee
Ni sahihi.
At least CCM ikikaa bench japo kwa miaka mitano akili zinawezaa kuwarudia.

Kuliko wakiendelea kua rigid na kuto taka kubadilika na kupokea ushauri mzuri wenye tija kwa taifa na ustawi wa watanzania wotee kwa ujumla.

Watu wanageuka chawa kisa TU kurushiwa kipande Cha mnofu wanajisahau Sanaa
 
ucahguzi hauwezi kuzuiwa na kibaka au tapeli wa siasa kama huyo gentleman :pedroP:
Utapeli wake ni upi gentleman 😊
Tuanze na kunipa tafsiri ya utapeli wa lissu?

Ni Nini kinawafanya vijana wenye akili na weredi Kama wewe kuto kuona mapungufu ya chama chenu na kushaur na kuyatekeleza?

Mara zote kwanini mkiambiwaga ukweli mnaanza projects za kutukana,kushusha utu, kudhalilisha na hata kuwapa kesi za madawa ya kulevya, uhujumu uchumi na hata kuuwa watu?

Kwanini CCM haitaki tume huru ya UCHAGUZI? Kwanini hamtaki katiba mpyaa?? Ni Nini hofu yenu wana CCM na selikali yenu kwa ujumla?
 
Mabadiliko unayataka wewe na Lema, wengi watz washaridhika na Samia
Samia anayenadiwa kwenye mabango barabarani km Dume Condom ? huyu Mama hapendwi ila analazimisha kupendwa.. watanzania walizielewa siasa za JPM waliamini wamepata rais wa hitaji lao lakn huyu hakuna kitu zaidi ya Promo tu..
 
Back
Top Bottom