DuuhWakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
Ngonjera tu hizo. Mbowe ndio aliwaweza ccm kimbinuWakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
Hao wahuni tunawaachia nyie CCM,sisi watu wa maana na wazalendo tutailazimishaHakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Basi sawa. Tukutane field!Hao wahuni tunawaachia nyie CCM,sisi watu wa maana na wazalendo tutailazimisha
Dogo povu la nini sasa? Kama unajiamini inakinikisha halafu uone ndio utajia ya kwamba sie kula kulala bure (KKB) ni Wazalendo wa nchi kuliko wewe! Karibu tu!Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..
Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?
Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)
Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
Aanze na mamaake ndotutafuata.cc waungwanaWakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..
Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?
Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)
Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
Endelea kuwa mjinga hivi hiviHakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Acha longolongo Dogo, muingje kati tulicheze Segere?Endelea kuwa mjinga hivi hivi
Hata Ufaransa walikuweko wajinga kama wewe, hata kule kwa Gadaf, kulikuweko watu aina yenu kibao
Usijisahau ukaacha kutokutofautisha siku na siku
Hata mwaka unayo majira yake
Asante kwamba kumbe unajua watu wanaweza kuingia kati ili na wewe utie timu kucheza mchezoAcha longolongo Dogo, muingje kati tulicheze Segere?
CCm aliiweza ccm yake?Ngonjera tu hizo. Mbowe ndio aliwaweza ccm kimbinu
Watanzania baadhi ni WAPUMBAVU kwani ku protest kitu ni mpaka vurugu?uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?
Mtaweza kuwakabili wataka mabadikiko wote nchini kwa wkt mmoja!? Hao unaowataja wapo wangapi idadi Yao nchi nzima?uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?
unawajua wahuni au unaropoka tu? Chadema ni taasisi ya kisiasa kama ccm tu, wana hoja wajibiwe kwa hojaHakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Naisubiri sana siku hiyo.Asante kwamba kumbe unajua watu wanaweza kuingia kati ili na wewe utie timu kucheza mchezo
Na mchezo ni mchezo tu, hata Simba hufungwa na Namngo maalimu
Acha upuuzi
Unadhani Jeshi litaendelea kuwa makondoo kwenu CCM na wanavyoona hivi mnafanya ufisadi wa kutisha kuliibia Taifa?uko tayari kuandamana kupambana na polisi na jeshi likifanay usafi mitaani?