Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nilijua najadili na mtu wa maana kumbe wewe bogus. Nikikujibu Tena nikamatwe Mara moja nipelekwe mirembe.Dogo povu la nini sasa? Kama unajiamini inakinikisha halafu uone ndio utajia ya kwamba sie kula kulala bure (KKB) ni Wazalendo wa nchi kuliko wewe! Karibu tu!
Lissu ametaka hoja kwamba ataidai haki kwa shuruti sio? Mimi nasema akiidai kwa shuruti tutakutana huko huko! Kosa langu lipi?unawajua wahuni au unaropoka tu? Chadema ni taasisi ya kisiasa kama ccm tu, wana hoja wajibiwe kwa hoja
CCM tumekuwa wapole sana mitandaoni. Sasa hivi ni an eye for an eye! Acha kujibu. Mtafute Erythrocyte mjibizane.Nilijua najadili na mtu wa maana kumbe wewe bogus. Nikikujibu Tena nikamatwe Mara moja nipelekwe mirembe.
Sina Cha kujadili Tena na wewe endelea kuupa huo MWILI mateso maana umebeba pumpkin badala ya kichwa ( Brain)
Your too Naive.
Mabadiliko unayataka wewe na Lema, wengi watz washaridhika na SamiaMtaweza kuwakabili wataka mabadikiko wote nchini kwa wkt mmoja!? Hao unaowataja wapo wangapi idadi Yao nchi nzima?
Naona malaria imekupanda kichwani...hakikisha unamaliza DOZI kabla ya kuchangia hapa jukwaani.Mabadiliko unayataka wewe na Lema, wengi watz washaridhika na Samia
Hoja za lisu zijibiwe na wenye akili na sio nyie machawa.Hakuna mtu yeyote mhuni au kikundi chochote cha kihuni nchini Tanzania kinaweza kuilazimisha CCM na Serikali kufanya wanavyotaka. Kama hamuamini, ajaribu mtu aone!!
Hawa wajinga wanadhani jeshi litawabeba daima dumu?Unadhani Jeshi litaendelea kuwa makondoo kwenu CCM na wanavyoona hivi mnafanya ufisadi wa kutisha kuliibia Taifa?
Mie mwanamageuzi pia. Lkn kwenye hizi siasa zetu waafrika kila mtu anachumia tumbo lake.Unanyang'anyana limote control sebuleni kwa shemeji yako na watoto wake..
Unakuja hapa ku comment Kama ng'umbaru.. Ivi wewe mkuu unalipa Kodi kweli wewe? Una uchungu na hii nchi na vizazi vijavyo?
Au kwakua unakula Bure hapo kwa shemeji yako yaan KKB..(kula, kulala, bureee)
Binafsi Mimi sio mwanachama/ sijawai kua mwanachama wa chama chochote Cha siasa Ila Mimi ni mwana mageuzi/ mwana mabadiliko.
hiyo shuriti unaitafsiri vibayaLissu ametaka hoja kwamba ataidai haki kwa shuruti sio? Mimi nasema akiidai kwa shuruti tutakutana huko huko! Kosa langu lipi?
ucahguzi hauwezi kuzuiwa na kibaka au tapeli wa siasa kama huyo gentlemanWakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba enzi za kubembelezana zimeisha
Ni sahihi.Mie mwanamageuzi pia. Lkn kwenye hizi siasa zetu waafrika kila mtu anachumia tumbo lake.
Unadhani kwamba ndio akija kuwa rais from chama kingine ndio kutakuwa na maajabu!? Thubutuuu. Sio kwa Africa hii, hao wanasiasa lugha tamuuuuu ila roho zao mbovu km mashetani. Wotee
Ahahahahaha! Hongera wewe unayeitafsiri vizuri.hiyo shuriti unaitafsiri vibaya
Utapeli wake ni upi gentleman 😊ucahguzi hauwezi kuzuiwa na kibaka au tapeli wa siasa kama huyo gentleman
Samia anayenadiwa kwenye mabango barabarani km Dume Condom ? huyu Mama hapendwi ila analazimisha kupendwa.. watanzania walizielewa siasa za JPM waliamini wamepata rais wa hitaji lao lakn huyu hakuna kitu zaidi ya Promo tu..Mabadiliko unayataka wewe na Lema, wengi watz washaridhika na Samia