Pre GE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM kitambo sana inatawala kimagumashi.Sina uhakika kama wanashinda uchaguzi kihalali,kukiwa na"fair play"🤔
 
Mabadiliko ya kudumu hayaletwi na watu, yanaletwa na mfumo. Mfumo wa uchaguzi ukiwa huru ile kweli na wa uwazi., chama chochote tawala kitakua kinajua hakina hati miliki ya nchi. Na ndio hapo watakapoanza kuacha ujinga na uchawa uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…