Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Watawala ndio hayo wanayoyataka, kila muda unavyokwenda raia wanakosa kabisa utu na uvumilivu, uoga umeshawaondoka.Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kaa mtutu.
CCM haiwezi kuondoka madarakani bila ya watu kuchinjana..that's for sure..yaani ni lazima watu wakichafue mbaya mbovu.Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kaa mtutu.
Naunga mkono hoja.Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kaa mtutu.
Lkn pia inategemea Magufuli unam-define vipi, hivyo suala la staha au kukosa staha ni tafsiri maana sisi tuliomchukulia Magufuli kama jasiri na shujaa kauli ya TL haina ubaya wowote.Hanaga staha huyu....
Magufuli wa kike!! Haijakaa vizuri, kulikuwa na njia nyingi za kuwasilisha hoja.
Huna akili ww hao unaowataka watawale unafikiri wakisha pata vyeo watakukumbuka.Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Rais hahitaji kutetewa na watu wa Aina yako ,katetee familia yako japo leo upate kula ugari na dagaa sio kila siku ugali tembeleAma kweli mama ana kazi kubwa mbele yake. Kwa upande mmoja dizaini za akina Lissu hawafahamu lolote zaidi kustawi kwa njia ya kupiga domo na kupinga lolote lililo mbele yao. Watu wa aina hii uwe wao usiwe wao watakupinga tu. Kwa upande mwingine mama ashatuudhi sisi ambao mwanzoni tulikuwa upande wake -- kwa kujifanya kwenda kinyume na falsafa ya JPM kiuchumi na kitabia (mfano, ndani ya miezi mitatu kujiamini na kuthubutu kote kama taifa tulikokajenga chini ya JPM kamepukutika hivi hivi).
Mama, sasa jitetee mwenyewe!