Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
mtaji wa ccm ni mkubwa mno mpaka sasa. mtaji wa UJINGA WA KUTOJITAMBUA WATZ! adui yetu mkubwa ni ELIMU! wengi hawajui haki na wajibu wao. hii hali imeratibiwa kwa miaka mingi ikazalisha raia zombi weng kama tulivyo. mbaya zaidi lichama limeshakuwa kubwa mno na konki. hata chocho za kupatia support ya nje kutumia nguvu havipo, yan ukabila, ukanda, udini, usiasa na maliasili ya kuibwa. hakuna beberu wa kutumia njia ya silaha na vurugu wakat anaiba kias atakacho kwa mikataba halali.
wapinzani hatuna kwa sabab kuna mstari wa kudai mabadiliko hawana kifua kuuvuka.
(nguvu ya mwanasiasa ni watu nyuma yake na watu ndo hawa watz!). wapinzani wengine ni ccm nyuma ya pazia. mashujaa pekee waliopo ni jesh la mtandaoni. jeshi hewa!. ndo hasara ya kuwa na viongoz wa upinzan wasio wanajeshi.
tumaini pekee lililobaki ni ccm yenyewe wavurugane au wapewe maono mapya au wavurugane na jeshi kimasilahi.
tumain jingine ni kitendo cha kuanzishwa kwa shule za kata na utandawazi. imebaki muda tu ila ni bado sana!
Between two evils, ni heri ccm kujirekebisha kuliko aina hii ya wapinzani na upinzani tulio nao.
Ccm wakinipa fursa kuongeza nguvu nina mbinu 77 wakae madarakan milele kihalali na bila kelele za raia.
upinzani wakiniita mezan nina mbinu 99 wachukue nchi kwa jua au mvua na waaminike ndan na nje!