Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Ww ndio uwe wa mbele na watoto wakoTanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Ww ndio uwe wa mbele na watoto wakoTanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Acha bangi dgo sauti tu unajua ukweli haha toka hapo ulipo bujibujiThe truth must be told. Go on Tundu Lissu
Mkuu sauti yako isikike mpaka oldonyo lengai.....umeandika kitu ambacho watu hawapendi kuskia ni ukweli mtupu mimi ntaandamana mkuuAma kweli mama ana kazi kubwa mbele yake. Kwa upande mmoja dizaini za akina Lissu hawafahamu lolote zaidi kustawi kwa njia ya kupiga domo na kupinga lolote lililo mbele yao. Watu wa aina hii uwe wao usiwe wao watakupinga tu. Kwa upande mwingine mama ashatuudhi sisi ambao mwanzoni tulikuwa upande wake -- kwa kujifanya kwenda kinyume na falsafa ya JPM kiuchumi na kitabia (mfano, ndani ya miezi mitatu kujiamini na kuthubutu kote kama taifa tulikokajenga chini ya JPM kamepukutika hivi hivi).
Mama, sasa jitetee mwenyewe!
Au sindio mkuu!!Huna akili ww hao unaowataka watawale unafikiri wakisha pata vyeo watakukumbuka.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Okay nitakuwa frontline mimi na masela zangu maana bado sina watoto.Ww ndio uwe wa mbele na watoto wako
Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
"Kama msimamo wa Samia Suluhu Hassan ndio huu aliousema juzi, maana yake ni kwamba tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni. Huyu mama ni Magufuli wa kike, kwa hii kauli yake kuhusiana na haki za vyama vya siasa na katiba mpya ni anataka kuendeleza Umagufuli bila Magufuli mwenyewe kuwepo, anataka kuendeleza Magufulism without magufuli. Tujiandae na mapambano makali na magumu mbeleni"- Tundu Antipas Lissu
..kama ni uongo basi Rais Samia Suluhu atuonyeshe kwa VITENDO.
1. Aivunje tume ya uchaguzi na kuanza mchakato wa kuunda tume mpya na huru...
Ni malofa tu kama MKAPA alivyowaita ...Huu ni ujinga tuu , mtu yupo mile 7500 away anawahutubia watu na wao bila kufkri wanapiga makofi , what a nonsense , si arudi tukichafue pamoja , kama anahofia maisha yake vip hawa waliopo wao hawapaswi kuhofia maisha Yao? Hata hvyo ni mda sasa wa kuifanya Tanzania iwe nchi tano
Sawa.....Okay nitakuwa frontline mimi na masela zangu maana bado sina watoto.
Mbowe aliibadilisha KATIBA ya mwenyekiti kuhudumu VIPINDI VIWILI TU....leo ana miaka 17 madarakani....umri wa mtoto kumaliza KIDATO CHA 4 🤣🤣🤣🤣Kuongea tuh ni jambo rahis Sana,
Wangekuwa hao chadema wangefanya hivyo?
Urais ni Taasisi,hawez kufanya maamuz SAMIA pekeyake bila kuhusisha baraka za chama chake,mnataka awe dikteta??
Mbowe mwenyew ana miaka 17 hapo hatak kuachia kiti Cha uenyekiti, angekuwa kwenye power hiyo hata yeye asingeweza fanya hivyo tusiongopeane hapa,
Suala la katiba ni mchakato,hatuwez liendea kwa pressure za chadema
MAPAMBANO yepi ?!!!
Lissu anapambana begani mwa BOB AMSTERDAM huko mamtoni ?!!!
Mama Samia awakazie hawa jamaa......
Hawa jamaa wanataka nchi isitawalike......
Mh.Rais nakuomba chondechonde ile kauli yako ya "ukinizingua nakuzingua" UITANGULIZE mh.Rais wetu......CHONDECHONDE MH.RAIS....
Hawa jamaa tunawajua huku mitaani.....
Hawa jamaa "SIO KABISAAAA"....
Hawa jamaa WATATURUDISHA NYUMA...kwani mh.Rais ni mtu mpole ,mweledi ,mwenye busara na utu.....ila ila ila ila HAWA JAMAA SIOOOOOO.......
#KaziIendelee
Hah asante mkulungwaOkay nitakuwa frontline mimi na masela zangu maana bado sina watoto.
Hakika mkuu....Umenena 👍Hawana jeuri hiyo,makamanda uchwara tuh hawa,uwezo huo wa kuingia barabaran hawana,tatizo hawaaminiki,hata kama ni kweli ccm umechoka lakin wapinzan wa nchi hii hata wakiipata katiba mpya hawako tayar kuongoza hii nchi