Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

Daaa mama samia Kazi anayo tena ..!

Kama unahasira za haraka ,unaweza kuchukua chuma na kuwapeleka mbinguni bowe na Lissu ..

Hizo kauli ni za dharau ,mimi tu binadamu wa kawaida sina madaraka ukinambia hivo lazima nikuwashie moto ..

Sijui mama Samia huko anajisikiaje kuambiwa "magufuli wa kike"
Ndio maana akatandikwa shaba ,yaan kauli isiyo na busara ,uhuni mtupu, kweli mhuni si wa kumzoea atakugeuka akishavuta majani yake
 
Ndio maana akatandikwa shaba ,yaan kauli isiyo na busara ,uhuni mtupu, kweli mhuni si wa kumzoea atakugeuka akishavuta majani yake
aliyemtandika shaba Leo kalala silence chattle mabatini ndio akili zenu nyumbu wa Lumumba kutumia nguvu badala ya akili
Kujibu hoja mnaleta vioja!
 
Daaa mama samia Kazi anayo tena ..!

Kama unahasira za haraka ,unaweza kuchukua chuma na kuwapeleka mbinguni bowe na Lissu ..

Hizo kauli ni za dharau ,mimi tu binadamu wa kawaida sina madaraka ukinambia hivo lazima nikuwashie moto ..

Sijui mama Samia huko anajisikiaje kuambiwa "magufuli wa kike"
Ukiwa kiongozi , kubali tu
 
Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Kabla ya kuiondoa CCM madarakani umeisha andaa chama au watu wa kuweka hapo madarakani au ndio hawahawa kina Mbowe na Lissu?
 
Mkuu Dr Dre huyo adui tunapambana naye kivipi na ninani anatuchelewesha kumuweka sawa?
democracy inatufanya leo hii tunadhani adui yetu ni mwafrica mwenzetu,adui ni ccm? ni chadema ? . hapana. kuna msemo mmoja mkuu @bold aliandika "deception is state of mind and mind of the state", democracy is a deception.tunadhani Lisu na chadema watatufaa sana sisi watanzania zaidi ya ccm na watu wake ?jibu ni hapana
refer Kenya kwenye hili walijaribu kubadili chama je walibadili mambo ?
 
MATAGA wameanza kufufuka kama hivi
Kuwashambulia kina Mbowe na lissu..
Bado wanarudia siasa zilezile
Watu wana poteza mda wao mwingi kufocus kwa mbowe na lissu. Badala ya ku focus kwenye vitu wanavoviona. Siku lissu na mbowe wakinyamaza hasira yao sijui wataipeleka wapi. Kwa sababu kama lissu anadai katiba mpya, mi sioni tatizo. Nilitegemea sasa wananchi waanze kujiuliza na ku reason kwenye katiba iliyopo kama inamapungufu. Lakini kitendo cha kuwa wakali chadema akiongea na kuwa wapole ccm wakiongea hata kama kitu ni kilekile huu unakua kama ushabiki wa simba na yanga.
Mwisho wa siku, wananchi ndo majaji wa hawa viongozi. Tunapaswa kusikiliza pande zote mbili na kuchukua mazuri ya pande zote mbili na kuyaacha mabaya ya pande zote mbili. Kwa sababu at the end of the day bado kiongozi tunayemtak tutampima kwa "alichotakiwa kukifanya according to wananchi wanachokitaka akiongozwa na katiba iliyotengezwa na wananchi kwa manufaa yao"
 
Namuhurumia Lisu. Ndio kwisha habari yake kama Oska Kambona. Abakie tu hukohuko azoee kula kwa fadhila. Fadhila zikikata arudi taratiibu afungue ofisi ya kupiga mihuri afidavit za watu. Safari ya siasa kwake ni kama safari ya mwendawazimu, ya kurudi na makopo
 
Thubutu, tangu Chadema walipowaunga mkono magaidi wa Kibiti sina hamu nao kabisa.
Walishangilia vifo vya watendaji wa serikali walipoongea bungeni, JWTZ walipojibu mapigo wakaanza kulialia.

Walikimbilia misikitini, wazee wa kazi wakawafuata humo humo na kuwapa shaba za vichwa.
 
Namuhurumia Lisu. Ndio kwisha habari yake kama Oska Kambona. Abakie tu hukohuko azoee kula kwa fadhila. Fadhila zikikata arudi taratiibu afungue ofisi ya kupiga mihuri afidavit za watu. Safari ya siasa kwake ni kama safari ya mwendawazimu, ya kurudi na makopo
Lissu anafaidika na huruma ya halaiki baada ya kupelekewa miguu ya kuku kadhaa. Amepitia mateso mazito.
 
Very stupid Lissu.. Very stupid
Imagine huyu ndio eti public figure wa Chadema. What a waste? Hana staha kabisa huyu jamaa
 
Mfano ni issue ya wale wabunge a.k.a covid19 inatosha kuonyesha ni kwa kiasi gani wapinzani wanafeli.
 
MATAGA wameanza kufufuka kama hivi
Kuwashambulia kina Mbowe na lissu..
Bado wanarudia siasa zilezile
Kwani hao wakina Mbowe na lissu wakishambulia CCM ndio sahihi? Wakiguswa wao ni nongwa? Upinzani wa uoga namna hii haufahi ndani ya nchi yetu. Jenga hoja, jibu hoja... Siasa sio huruma ya mtu fulani
 
Back
Top Bottom