Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kwa hiyo mna hofia mkiachia amani itatoweka?How?Ahadi moja wapo ni 'kulinda amani kwa gharama yeyote ile' kwa hiyo ukosefu wa internet ndio moja ya gharama yeyote ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mna hofia mkiachia amani itatoweka?How?Ahadi moja wapo ni 'kulinda amani kwa gharama yeyote ile' kwa hiyo ukosefu wa internet ndio moja ya gharama yeyote ile
Kwahiyo mnahofua mkiachia amani itatoweka?How?
Na hiyo pia ni sababu ya kuiba uchaguzi?..sasa hivi wanaolia-lia ni wapinzani.
..hilo siyo jambo jema ktk taifa.
..siyo jambo ambalo chama tawala kinatakiwa kujivunia.
..kwani kuna shida gani kuunda tume ya uchaguzi itakayokidhi matakwa ya wadau wengi zaidi wa siasa?
..sasa hivi wanaolia-lia ni wapinzani.
Hilo siyo jambo jema katika taifa na siyo jambo ambalo chama tawala kinatakiwa kujivunia.kwani kuna shida gani kuunda tume ya uchaguzi itakayokidhi matakwa ya wadau wengi zaidi wa siasa?
I am witnessing the maturity of your political wisdom. Keep it up the number is growing.Mkuu bila kupinga maelezo wala mapendekezo yako, kwahiyo unaona ni sawa uchaguzi kwa sasa kufanyika kwa wizi, na yoyote atakayepata katika mazingira ya wizi watu wasichukue hatua yoyote.
Mimi kwangu nadhani huyo dada aachwe aende bungeni kutafuta kipato maana maisha ni magumu. Lakini hakuna lolote linaenda kujadiliwa humo ndani zaidi ya kumsujudia Magufuli, na kutaka kumuongezea muda wa kukaa madarakani.
Kwa hiyo mna hofu kuwa watu wanaweza kuanzisha movement na amani ikatoweka? Ndio maana yako?Utajua ukifunguliwa usiwe na papara Mwananchi Mnyonge 'uliebiwa kura'
Na hiyo pia ni sababu ya kuiba uchaguzi?
Maisha mafupi jamani, wamuache dada wa watu na yeye nae ale mema ya nchi.
Jakaya alitaka aunde hiyo Tume kabla hajamaliza muda wale watu wakasusia Mchakato wa kuunda hiyo Tume wakamwambia asituzingue aende zake Rais ajae atamalizia, so tuvute subra Rais 'ajae' wa Katiba Mpya yupo njian kwny foleni
Watashiriki na kipigo kipo pale pale, hata wakisusa kipigo kipo pale pale.2025 watashiriki tena kana kwamba wamesahau ya nyuma...
NdiyoMshindi angekuwa Joyce Mukya Busara hiyo ingetumika
Kidogo hapa kijimstari cha aende Bungeni ndio point kulikobaki ni ng'onda!Mkuu bila kupinga maelezo wala mapendekezo yako, kwahiyo unaona ni sawa uchaguzi kwa sasa kufanyika kwa wizi, na yoyote atakayepata katika mazingira ya wizi watu wasichukue hatua yoyote.
Mimi kwangu nadhani huyo dada aachwe aende bungeni kutafuta kipato maana maisha ni magumu. Lakini hakuna lolote linaenda kujadiliwa humo ndani zaidi ya kumsujudia Magufuli, na kutaka kumuongezea muda wa kukaa madarakani.
Wakati wa campaign humu humu jamvini ulikuwa unalalamika eti kwa nini January kaachwa anacheza pool huku Lissu anafunika akina Polepole hawawezi kitu ukaenda mbali hadi kumtetea sheikh Ponda wamuache wasimuandame aliposimama na Lissu Dodoma.Utajua ukifunguliwa usiwe na papara Mwananchi Mnyonge 'uliebiwa kura'
Trump anapolia lia kuibiwa kura kaambiwa weka ushahidi valid mezani sio blaa blaaa
Wekeni mezani mlipata majimbo mangapi na yepi Ccm wameshinda kihalali
Tangu 1995 hakuna Uchaguzi ambao Wapinzani hawajadai kushinda lakin wakiulizwa Ushahidi wanatoa ushahid mwepesi mwepesi kweli
Trump kaonesha Masanduku ya kura 53 ya njia ya posta yalicheleweshwa kuingizwa kwny chumba cha kuhesabia kura kaambiwa ushahidi mwepesi sana
So wekeni ushahidi ili mjadala uwe kwny kujadili ushahidi wenyewe kuepusha ubishi kimbunga wa ama ziliibiwa au laa
Not my political maturity, but seems my contribution on this matter didn't hurt your expectations, as used to be on other issues.I am witnessing the maturity of your political wisdom. Keep it up the number is growing.
Kidogo hapa kijimstari cha aende bungeni ndio point kulikobaki ni ng'onda!