Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Halafu akihamia CCM watasema kanunuliwa
Kwani unafikiri anahitajika na CDM, huyo ni boya la CCM wacha akwende. Tunataka mwendo wa kijani tu ndani ya bunge na nje ya bunge. Wengine wanachelewesha maendeleo.
 
Kuna mbinafsi kumshinda huyo mwenyekiti wenu?
Jamaa wabinafsi sana

Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
 
Swadakta Swahiba.
Hapo umekubali kwa asilimia zote kwamba chama chako ni chama cha wezi wa kura ndiyo sababu ya kutoa takwimu zote hizo.

Sasa kuna sababu ya kuendelea kufanya kazi na wezi wa kura ili watulindie mali zetu za uma? Kwa vile ni wezi wazoefu huoni kwamba mali za watanzania zitakuwa kwenye hatari ya kuibiwa mkononi mwa Magufuli?

Nataka kukuuliza hivi, unadhani mali za taifa letu zinaweza kuwa salama mikononi wa JPM na chama chake ambacho umesema sasa hivi kwamba wao ni wezi wa kura kwa miaka mingi?
 
Leo eti CCM ina mapenzi na mbunge mmoja wa CHADEMA. Mngekuwa na mapenzi hivyo, mngepigia kura majumbani kwenu na kuzipeleka vituoni kwa mtutu wa bunduki? Mambo mengine ni ya kijinga. Hata kubishana nanyi ni kupoteza muda.
Jamaa wabinafsi sana

Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
 
wamwache afanye kazi. ubunge wake hauzuii mapambano. huyu ataenda kuwa image bungeni na ataonyesha utofauti
 
Huyu bibie kama sio kununuliwa, ilikuwaje akaenda kwenye hafla ya kuapishwa Magufuli Dodoma ilhali inajulukana wazi huyu ndie mbakaji mkuu wa Demokrasia, utu, haki.nk katka nchi hii?
Shida ya CHADEMA mlishakaririshwa kuwa upinzani ni kususa.2025 tunawafuta kabisa ni bora tubaki na mfumo wa chama kimoja kwa maslahi ya nchi
 
Busara ni kumuachia Aida aapishwe na kuwa mbunge kamili na kuendelea na kazi za kibunge, na chama kuendelea na msimamo wa kutokuutambua uchaguzi!
hii italeta contradiction huyo mdada ametangazwa tuu kwa maelekezo ila kiukweli hajashinda kuna wagombea wengi wa chadema wenishishinda ila hawajatanazwa, huyo dada alikuwepo bunge lililopita alionekana sio threat kwa chama cha majamabazi ndio wakaamua kumtangaza kuwa mshindi ingawaje kiukweli hajasinda ni mchezo mchafu tu umefanywa
 
Jamaa wabinafsi sana

Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge

Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Umeongea point sana mkuu.
 
Mambo ya CHADEMA iachieni CHADEMA. Kama mnampenda Aida, CCM mchukuweni ili kuongeza % zenu Bungeni. Nyie mko juu ya katiba/sheria. Bunge lililopita Mwambe alikuwa mbunge bila chama kwa hisani ya Spika. Hata Aida ikiwapendeza, anaweza kuwa Mbunge bila chama.
Itakuwa ni ushenzi kufanya chochote kumzuia huyu mbunge kuingia bungeni.

Chadema acheni uchuro.Msimuhukumu kwa ajili ya interest zenu binafsi. Mwacheni atumikie wananchi waliomchagua
 
Kwani kuna uchaguzi upi kwenye chaguzi za nyuma wapinzani waliwahi kukiri ni uhuru na haki?
Lakini mbona waliingia bungeni chaguzi zote za nyuma ambazo pia hazikuwa huru na haki kama kawaida yao wanavyodai marazote.
 
Wekeni ushahidi hadharan Public iupime acheni visingizio

Public ipime mara mbili? Mwingi mwa ule uhayawani tumeuona kwa macho yetu wala sio kuhadithiwa, achia mbali wagombea wengi wa upinzani kuenguliwa na tume ya ubaguzi kwa maagizo ya dictator. Ndio maana 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kushiriki huo upuuzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali ilikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kila chaguzi mliiba lakini 2020 ilikuwa record breaking! Hata watoto wadogo wameyaona makaratasi ya kura yakizagaa mtaani!
Kwani kuna uchaguzi upi kwenye chaguzi za nyuma wapinzani waliwai kukiri ni uhuru na haki?
Lakini mbona waliingia bungeni chaguzi zote za nyuma ambazo pia azikuwa huru na haki kama kawaida yao wanavyodai marazote.
 
Kila kitu kinawezekana. Mna TISS, JW, Bunge, Mahakama, NEC, Mamlaka ya Anga, TCRA, polisi, Msajili. Amuweni tu mnavyotaka.
Shida ya chadema mlishakaririshwa kuwa upinzani ni kususa.2025 tunawafuta kabisa ni bora tubaki na mfumo wa chama kimoja kwa maslahi ya nchi
 
Back
Top Bottom