Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Bora ahamie CCM akiendelea kung'ang'ania mshaara wake utatumika kujenga makao makuu ya chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu unakusumbuaHuyo waachanenae tu.
Sasa huyo mmoja ana impact gani?Wivu tu unakusumbua
CCM kama wamechanganyikiwa leo wanawalilia wapinga maendeleo.Mbona CCM ndio mnataka asifukuzwe? Hamjui Hawa wapinzani wanazuia maendeleo
Hata akivuliwa uanachama, ubunge wake uko palepaleHakika mkuu mimi naunga MKONO HOJA HUYU MAMA NI LAZIMA AVULIWE UANACHAMA TU, HAKUNA NAMNA.
Kwanza inasemekana ni afsa kipenyo....
Watu kama hawa hawafai kubakia kwenye chama maana wapo tayari kuuza mipango ya chama kwa ccmHaiwezekani sisi tupo kwenye msiba yeye anaenda kwenye sherehe tena kwa mbwembwe!
Aida akumbushwe kuwa anaweza kuwa mbunge wa CHADEMA akiwa CCM Kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe kwahiyo asiogope hatapoteza Ubunge wake Ila asiwe Mbunge wa CHADEMA.
Aende kwa wenzake CCM
Unadhani kila mtu ni kiruka njia kama wewe?Wivu tu unakusumbua
Haiwezekani sisi tupo kwenye msiba yeye anaenda kwenye sherehe tena kwa mbwembwe!
Aida akumbushwe kuwa anaweza kuwa mbunge wa CHADEMA akiwa CCM Kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe kwahiyo asiogope hatapoteza Ubunge wake Ila asiwe Mbunge wa CHADEMA.
Aende kwa wenzake CCM
Sasa huyo mmoja ana impact gani?
Alafu kumbe mnapenda wakwamisha maendeleo waingie Bungeni!!