Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Jambo la kujiuliza; hao wajumbe wa kamati kuu wote wangefaiti na kupita wangesusa? Kwani uchaguzi wa 2015 hawakusema kwamba waliibiwa mbona waliingia bungeni?

Mbunge aliyepita kwa kura aachwe akatumikie wananchi kwa sababu amejitahidi hakuibiwa au kama aliibiwa lakini zimeshindikana kumzidi. Nampongeza Aida na tumu yake. Kumkataza ni KUMUONEA yeye na wana Chadema wa Nkasi
 
Haiwezekani sisi tupo kwenye msiba yeye anaenda kwenye sherehe tena kwa mbwembwe!

Aida akumbushwe kuwa anaweza kuwa mbunge wa CHADEMA akiwa CCM Kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe kwahiyo asiogope hatapoteza Ubunge wake Ila asiwe Mbunge wa CHADEMA.

Aende kwa wenzake CCM
 
Huyo ndiyo mbunge wa NKASI kwa kipindi cha 2020-2025, akiwa mwanachadema au chama kingine, mnapoteza muda wenu kwa majungu na wivu, angekuwa ametoka kanda maalumu ya CHADEMA mngesema acha aendelee ili atusaidie kupata taarifa za jikoni.POOR CHADEMA
 
Hakika mkuu mimi naunga MKONO HOJA HUYU MAMA NI LAZIMA AVULIWE UANACHAMA TU, HAKUNA NAMNA.

Kwanza inasemekana ni afsa kipenyo.

Wpinzani WANACHELEWESHA maendeleo afukuzwe tu ATATUCHELEWESHA CCM.

MIAKA 60 YA UHURU wapinzani wanachelewesha MAENDELEO.

AONDOKE TU.
 
Wale raia anaodai walimpigania akatangazwa mshindi walimpigania akiwa aniwakilisha CHADEMA, iwapo atavuliwa uanachama anaweza kubaki Bungeni lakini atakua hana sifa ya kuwa Mbunge.
 
Haiwezekani sisi tupo kwenye msiba yeye anaenda kwenye sherehe tena kwa mbwembwe!

Aida akumbushwe kuwa anaweza kuwa mbunge wa CHADEMA akiwa CCM Kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe kwahiyo asiogope hatapoteza Ubunge wake Ila asiwe Mbunge wa CHADEMA.

Aende kwa wenzake CCM
Watu kama hawa hawafai kubakia kwenye chama maana wapo tayari kuuza mipango ya chama kwa ccm
 
Haiwezekani sisi tupo kwenye msiba yeye anaenda kwenye sherehe tena kwa mbwembwe!

Aida akumbushwe kuwa anaweza kuwa mbunge wa CHADEMA akiwa CCM Kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe kwahiyo asiogope hatapoteza Ubunge wake Ila asiwe Mbunge wa CHADEMA.

Aende kwa wenzake CCM

Then ww na familia yako unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom