Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wewe na vibaraka wengine lakini sio sisi.Watanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na vibaraka wengine lakini sio sisi.Watanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
hakuna chochote watakachomsaidia anapoteza muda tu bora aendelee na dili yake ya ushoga aliyopata huko labda itamsaidia
Akili ya ccm hapa hatuzungumzii ubunge. Tunazungumzia haki tunataka kujua kwann mlimpiga Lissu risasi, kwani tangu mmechukua ubunge ali, familia yake haisomi?? Ebu acha hizo. Ongea pointEti IPU
Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?
Ndugai toa tamko. Utaipokea hiyo taarifa na kuifanyia kazi?View attachment 1346969
View attachment 1346975
Toka: Geneva, Uswisi.
Waheshimiwa Wabunge salaam.
Poleni sana kwa mapambano na hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Naendelea kuifuatilia kazi yenu kwa ukaribu sana.
Bila shaka mlisikia kwamba nilipeleka malalamiko juu ya mambo niliyotendewa na Tanzania ya Magufuli kwenye Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) miezi michache iliyopita.
Bunge letu ni mwanachama wa IPU na hivyo linawajibika kuheshimu na kuzingatia haki za Wabunge wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu na za Wabunge.
Wiki mbili zilizopita niliitwa kwenye kikao cha Kamati ya Haki za Binadamu ya IPU, Geneva, Uswisi, ili kutoa maelezo ya ziada kuhusu malalamiko yangu. Leo Kamati ya Haki za Binadamu ya IPU imetoa taarifa yake ya uchunguzi wa malalamiko hayo.
Kama mtakavyoona kwenye taarifa yenyewe, Kamati imetoa uamuzi muhimu sana kuhusu suala hili na kuhusu masuala ya haki za Wabunge kwa ujumla. Kamati ya Haki za Binadamu ya IPU imesema yafuatayo kuhusu malalamiko yangu:
1. Kamati imekubali kwamba malalamiko yangu yanakubalika chini ya Kanuni za Uchunguzi na Uamuzi wa Malalamiko za IPU na Kamati ina mamlaka ya kuyachunguza.
2. Kamati imesikitishwa sana na jaribio la mauaji dhidi yangu na tuhuma za kuhusika kwa mamlaka za kiserikali katika jaribio hilo. Mahsusi kabisa, Kamati imehoji vitisho vilivyokuwa vinatolewa dhidi yangu kabla ya shambulio; kuondolewa kwa walinzi wa eneo la makazi yangu muda mfupi kabla ya shambulio hilo; na kuondolewa na kupotezwa kwa kamera za CCTV kutoka kwenye jengo la makazi yangu. Kamati imeomba kupatiwa maelezo rasmi na ya kina kuhusu masuala haya, na taarifa rasmi kuhusu waliohusika na shambulio hilo na wale waliowatuma.
3. Kamati imesisitiza kwamba vitisho dhidi ya maisha na usalama wa Wabunge, vikiachwa bila kuadhibiwa, sio tu vinakiuka haki ya kuishi, ya kuwa salama na ya uhuru wa mawazo ya Wabunge, bali pia inaathiri uwezo wa Bunge kama taasisi kutekeleza wajibu wake.
4. Kamati imesikitishwa na kitendo cha mimi kuvuliwa Ubunge wakati sababu za kutokuwepo kwangu zikiwa zinajulikana wazi kwa mamlaka ya Bunge na umma kwa ujumla. IPU imeomba maelezo kutoka Bunge la Tanzania kuhusu sababu na hoja za uamuzi huo.
5. Kamati imesikitishwa kufahamu kwamba nilikamatwa na polisi mara kadhaa, na kwamba bado ninakabiliwa na mashtaka kadhaa ya jinai yanayoenda kinyume na haki zake za msingi za binadamu, na inapenda kupata maelezo rasmi kuhusu misingi ya kiushahidi na ya kisheria ya kila mojawapo ya mashtaka hayo.
6. Kamati inatambua kwamba ninataka kurudi Tanzania haraka iwezekanavyo, na inapendekeza kuwa ujumbe wa Kamati unisindikize wakati nitakaporudi, kwa imani kwamba kutembelea Tanzania kutatoa fursa ya kukutana na mamlaka za kiserikali, kibunge na kimahakama, pamoja na wadau wengine, ili kuiwezesha Kamati kuelewa suala hili vizuri zaidi.
7. Kamati inamuomba Katibu Mkuu wa IPU kuwasilisha uamuzi huu kwa mamlaka ya kibunge ya Tanzania na kuomba ruhusa ya kutembelea Tanzania kama ilivyopendekezwa.
8. Kamati itaendelea na uchunguzi wa malalamiko haya katika kikao chake kijacho.
Kama mtakavyoona kwenye taarifa ya Kamati, IPU imekuwa ikipokea malalamiko ya manyanyaso ya Wabunge, hasa wa vyama vya upinzani, kutoka sehemu mbali mbali duniani na kuyachunguza.
Kitu cha kufurahisha ni kwamba IPU imechunguza maamuzi ya kuwafukuza au kuwasimamisha Wabunge kuhudhuria vikao vya Bunge, vitendo ambavyo vimekithiri sana katika Bunge letu.
Ushauri wangu ni kwamba Wabunge wetu wote ambao wameathiriwa na vitendo hivi wawasilishe malalamiko yao kwa IPU ili yachunguzwe. Mtaona kwenye taarifa hii jinsi ambavyo malalamiko kutoka sehemu mbali mbali duniani, ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yameshughulikiwa.
Kufanya hivyo kutaongeza shinikizo kwa utawala huu wa mabavu, pamoja na uongozi wa Bunge. Angalau wananchi wetu, na Serikali ya Magufuli na Bunge la Spika Ndugai, watajua kwamba vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu na za Wabunge wa upinzani zinamulikiwa taa na dunia.
Kama hili linakubalika, niko tayari kuwasaidia kuandaa hoja za kupeleka IPU au, bora zaidi, kuwaomba mawakili wangu wa London, yaani Amsterdam & Partners, kufanya hivyo kwa niaba yetu wote.
Wasalaam.
Tundu Lissu
Makamu Mwenyekiti Tanganyika.
Kwa taarifa zaidi, soma kiambatanisho hiki
hebu hata wewe fikiria tangu wameanza kuwalalamikia hao mabeberu wamesaidiwa niniwasaidie kuwaambia waache ufalaMasikini, pole sana ndugu!!
Maana unamwaga wino tu kuandika lakini for sure kabisa, huelewi wala hujui na huna uhakika unawaza na kuandika nini!!
Wawafungie wabunhe naoa KUSAFIRIView attachment 1346969

mfa maji haishi kutapatapa anajipa matumaini pamoja na wewe ambayo hayapoAkili ya ccm hapa hatuzungumzii ubunge. Tunazungumzia haki tunataka kujua kwann mlimpiga Lissu risasi, kwani tangu mmechukua ubunge ali, familia yake haisomi?? Ebu acha hizo. Ongea point
Upo bize peke yako hakuna mtu yupo bize na Udikteta wake wa kuwaonea wapinzaniKaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Drone zipo Mombasa kwenye kambi za wamarekani zinamchunguza nyendo zake hasa ukizingatia Marekani wametoka kuendesha mafunzo ya kijeshi Tanzania wamejua siri nyingi na kuwapandikiza CIA ndani ya JwtzNimeona matakoni kwa Meko pamelowa kwa mbali. DAB ameenda chooni ameshindwa kutoka amepata kitu kama kipindupindu hivi. Mbbbado!!!
Beberu ni mbuzi Dume ina maana ccm ni mbuzi jike? Meko si kasema wanazo pesa zao Nchi ni Tajiri iweje wanaanza kuchachawa?Hakuna shida mnavyo mtakia MABAYA LISSU ingelikuwa haitomsaidia wala msinge mwambia ,ila vile mna lalama najua Mmeshikwa PABAYA,MABEBERU mnawachukia pesa zao MNAZIPENDA
Mfa maji ni ccm ndiye anatapatapa kwa kuwaonea wapinzanimfa maji haishi kutapatapa anajipa matumaini pamoja na wewe ambayo hayapo
Dah!Akili ya ccm hapa hatuzungumzii ubunge. Tunazungumzia haki tunataka kujua kwann mlimpiga Lissu risasi, kwani tangu mmechukua ubunge ali, familia yake haisomi?? Ebu acha hizo. Ongea point
Andika lugha ya taifa wewe duanzi! Meko babako pacemaker imekataa kazi. Bashite nduguyo anahara hovyo! wote kwishney. Tulieni mmuupate ukuni taratibu!!Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of political brinkmanship using words like 'Oh! I know who blah blah{....}should stop.
Huruma ya kumpiga risasiNamhurumia sana Tundu Lisu washauri wake si wazuri mwenzao ni mgonjwa wanamshauri vibaya sana.
Anasahau kwamba Tanzania ni nchi huru yenye watu millioni 60+ anasahau kwamba Tanzania ina utawala wa Sheria, kuna mahakama ambayo ndiyo inashughulikia jinai binafsi namhurumia sana angekuwa ndugu yangu wa Karibu ningemuangukia miguuni nikimsihi arudi Tanzania aachane na Mambo ambayo kimsingi Mungu ndiye hupanga.
kwa mfano kuwa Rais wa nchi huwa ni mipango ya mwenyezi Mungu Tundu Lisu ni masikini asiye na cha kuwaachia watoto wake hata baada ya mauti kumkuta kitu pekee ambacho angeweza kuwaachia watoto wake ni Elimu bora na maadili ya kutii mamlaka za Duniani anayoyafanya Lissu kwa kweli yanasikitisha sana nadhani ashukuru tu kwamba anafanya haya kwenye nchi yenye Rais wenye huruma.
Sidhani kama kuna kiongozi yeyote Duniani anaweza kubali nchi yake kuchezewa kiasi hiki
Ndio unavyoamini Lissu ananipambania au anakupambania?Usiliangalie suala hili kwa akili ya bata maji bali kama una akili nzuri basi fanya ku-refresh. Kama unadhani nia ni kurudishiwa ubunge basi uwezo wako wa kufikiri ni kiwango cha kisoda.
Tundu Lissu anagombea utawala wa sheria nchini , demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa kujieleza na kukomesha mauaji, utekaji na matumizi bora ya mali yaumma. Vitu vyote hivi vimesiginwa na Dikteta Magufuri. Tundu Lissu hatetei nafsi yake, anakutetea hata wewe mtoa post hii misasa . Leo inawezekana wewe ni kama Makonda yaani unafaidi utwala wa huyu Magufuri, Lakini Magufuri akitoka anaweza kuja Rais mwingine akafanya mambo mabaya kuliko haya na wewe ukawa mhanga.
Kwa hiyo kinachotafutwa ni utawala wa Sheria ambao mihimili 3 inafanya kazi kwa kujitegemea bila kuogopa mhimili mwingine, kama ilivyotokea huko Malawi jana.
🤣🤣🤣IMEBAKIA MIEZI MICHACHE TUU BUNGE FAKE LIVUNJWE. SO MH. TUNDU LISSU HAITAJI HUO UBUNGE TENA. BUT IPU ITAM SIMAMIA APATE HAKI ZAKE ZA KIBUNGE KAMA ANAVYO STAHILO. UPO HAPO? MA CCM AKILI ZENU ZIPO TUMBONI BADALA YA KUWA KWA UBONGO
Sawa IPUNyie Lumumba mnawaza ubunge tu, hamfikirii uhai wa mtu! Haki zake za msingi!
Sent using Jamii Forums mobile app