Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Laiti kama Magufuli angekuwa na hekima na busara angeacha tu asigombee tena urais make amechafuka sana na kamwe hakuwa na kipawa cha kuweza kushikilia hiyo nafasi. Sometimes, ngekewa ni hovyo sana.
 
Tundu Lisu, sina maneno ninayoweza kuyanena ili kuakisi hisia zangu. Bali itoshe tu kusema, kuja kwako Duniani haikuwa bure, wala haikuwa kwaajili yako pekee. Mabegani mwako una dhamana kubwa kwaajili ya wengi.

Uzidi kuneemeshwa zaidi. Najua kuwa maana hata katika uovu, mema humea.
 
Hongera Mheshimiwa Tundu Antipas Lisu kwa kuto kukata tamaa, ila mzee meko ataanza kuokota makopo safari hii maana kakabwa kila kona masikini.
 
kwa kweli Lisu arudi nyumbani tu sasa, maana huko ameshazungumza na karibia kila taasisi, na wamemsikia.
 
Mmeachana na ulinzi wa UN na marekani, sasa ni IPU, hao IPU nani atawagongea visa hao walinzi? TL atawacha tena kwenye mataa atakaposema haji mpaka magufuli atoke madarakani, tena mtashangilia, maana kila analosema mnakubali
Hapo sasa ndio tutakapojua nani aliwagongea Visa wale waliomkamata Sadam Hussein

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muoneeni huruma huyo mtu, alipigwa risasi za kutosha, bado anaponya majeraha bado mnamuongezea majeraha mengine?
 
Huwezi mlinganisha yesu na mambo ya hovyo, yesu alimtumikia mungu mwanzo mwisho, uliona anahangaika na mambo yenu ya kishilikina? Yesu hakutoa taarifa za mungu kwa shetani, ila huyo wenu anatafuta siri za serikari apeleke kwa kaizari.
Hapana Yesu hakumtumikia "mungu", hawezi kumtumikia shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe huruma yako labda na ya familia yako kwake haitoshi? Isitoshe alienda Mahakamani kudai haki yake akashindwa kesi, sasa unataka sisi tufanye nini?
Ufanye kile unachopaswa kufanya pale mwenzako anapopatwa na majanga na kile ambacho wewe usingependa kufanyiwa kama ungekua kwenye viatu vyake. Hizi chuki hazilipeleki taifa sehemu salama.
 
Ufanye kile unachopaswa kufanya pale mwenzako anapopatwa na majanga na kile ambacho wewe usingependa kufanyiwa kama ungekua kwenye viatu vyake. Hizi chuki hazilipeleki taifa sehemu salama.


Huruma haina uhusiano wowote ule na Sheria za nchi, kama ingekuwa ni hivyo basi Sheria za nchi zifutwe na tufwate emotions, nenda Ubalozi wowote kuomba viza halafu waambie umepigwa risasi karibia kufa au umefiwa na mtoto, mke/mme au mzazi hivyo wakuonee huruma wakupe viza pmj na kuwa hautimizi masharti halafu uone kama watakupa viza, sana sana utapata pole ya matatizo lkn viza hauwezi kupata kama haukidhi vigezo vyao.
 
Back
Top Bottom