Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Ndugai toa tamko. Utaipokea hiyo taarifa na kuifanyia kazi?
 
Masikini, pole sana ndugu!!

Maana unamwaga wino tu kuandika lakini for sure kabisa, huelewi wala hujui na huna uhakika unawaza na kuandika nini!!
hebu hata wewe fikiria tangu wameanza kuwalalamikia hao mabeberu wamesaidiwa niniwasaidie kuwaambia waache ufala
 
Wawafungie wabunhe naoa KUSAFIRI
 
Akili ya ccm hapa hatuzungumzii ubunge. Tunazungumzia haki tunataka kujua kwann mlimpiga Lissu risasi, kwani tangu mmechukua ubunge ali, familia yake haisomi?? Ebu acha hizo. Ongea point
mfa maji haishi kutapatapa anajipa matumaini pamoja na wewe ambayo hayapo
 
JAMANI HUKU GESI. SHAPANDAAAA SASA NAHAO WA.IPU WAKIPANDISHA BIDHAA ZAO SI TUTAKUNYA HAPA.MPAKA.MOSHI KHA
 
Nimeona matakoni kwa Meko pamelowa kwa mbali. DAB ameenda chooni ameshindwa kutoka amepata kitu kama kipindupindu hivi. Mbbbado!!!
 
Nimeona matakoni kwa Meko pamelowa kwa mbali. DAB ameenda chooni ameshindwa kutoka amepata kitu kama kipindupindu hivi. Mbbbado!!!
Drone zipo Mombasa kwenye kambi za wamarekani zinamchunguza nyendo zake hasa ukizingatia Marekani wametoka kuendesha mafunzo ya kijeshi Tanzania wamejua siri nyingi na kuwapandikiza CIA ndani ya Jwtz
 
Hakuna shida mnavyo mtakia MABAYA LISSU ingelikuwa haitomsaidia wala msinge mwambia ,ila vile mna lalama najua Mmeshikwa PABAYA,MABEBERU mnawachukia pesa zao MNAZIPENDA
Beberu ni mbuzi Dume ina maana ccm ni mbuzi jike? Meko si kasema wanazo pesa zao Nchi ni Tajiri iweje wanaanza kuchachawa?
 
Akili ya ccm hapa hatuzungumzii ubunge. Tunazungumzia haki tunataka kujua kwann mlimpiga Lissu risasi, kwani tangu mmechukua ubunge ali, familia yake haisomi?? Ebu acha hizo. Ongea point
Dah!

Kila mwenye mtazamo tofauti wa kimawazo ni CCM.
 
Andika lugha ya taifa wewe duanzi! Meko babako pacemaker imekataa kazi. Bashite nduguyo anahara hovyo! wote kwishney. Tulieni mmuupate ukuni taratibu!!
 
Huru Huruma ya kumpiga risasi
 
ccm wana njaa na pesa za mabeberu lakini kutwa kuwatukana, wanazipenda pesa za wazungu lakini hawataki wazungu wakatae ujinga wa ccm inashangaza sana
 
Ndio unavyoamini Lissu ananipambania au anakupambania?

IPU ina deal na wananchi wa kawaida au wabunge kama member wao?
 
IMEBAKIA MIEZI MICHACHE TUU BUNGE FAKE LIVUNJWE. SO MH. TUNDU LISSU HAITAJI HUO UBUNGE TENA. BUT IPU ITAM SIMAMIA APATE HAKI ZAKE ZA KIBUNGE KAMA ANAVYO STAHILO. UPO HAPO? MA CCM AKILI ZENU ZIPO TUMBONI BADALA YA KUWA KWA UBONGO
🤣🤣🤣

Stahiki zake kama zipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…