Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi kabisa na bado yanakuja!
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of brinkmanship using I know who{....} should stop.
RubbishNow Tanzania looks like a boy at odds in the international community, lonely among (big) brothers.
Mtu kapewa ubalozi unategemea atatoa tafiti ganHivi zile tafiti za kina Benson Bana ziliishia wapi...nataraji kuona kiwango cha demokrasia Tanzania kupaa kwa kiwango cha flyover huku akitolea mfano bara bara mbili tatu
Kinachochunguzwa alikuwa mbunge wakati yanatokea, ni Kama unapofukuzwa kazi na kushitaki CMA.Bado ni maombi! Je! Yatakubaliwa? - for your information: Tundu Lissu is not a parliamentarian any longer!
Msifurahi mwanzoni.
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of brinkmanship using I know who{....} should stop.
Nani kakuambia zinaniumiza kichwa? Kama kujiba hapa tutajibu tu ila hiyo haimaanisha inatuumiza kichwa, pambana na hali yako .Kama ni Porojo zisikuumize kichwa
Wanasema kufa na tie shingoniNani kakuambia zinaniumiza kichwa? Kama kujiba hapa tutajibu tu ila hiyo haimaanisha inatuumiza kichwa, pambana na hali yako .
Mmeachana na ulinzi wa UN na marekani, sasa ni IPU, hao IPU nani atawagongea visa hao walinzi? TL atawacha tena kwenye mataa atakaposema haji mpaka magufuli atoke madarakani, tena mtashangilia, maana kila analosema mnakubaliSo, TL atapata escort ya delegates kutoka IPU wakati anarudi hapa nchini na itakuwa very soon? Nice move.
Naamini hapo ulinzi wake utakuwa wa kiwango cha juu sana.