Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Kuna watu wanambeza Lissu,wakitoa hoja kuwa Lissu angerudi nyumbani badala ya kubaki huko aliko,,,wengine wanataka Lissu akae kimya tu na aendelee na maisha.

Watanzania huwa hatuna sana mguso na mambo yanayohusu haki zetu,mara nyingi sana haki zetu tunazipuuzia kwa hiyo si ajabu kuona watu wanaamini tu kuwa Lissu analipaswa kukaa kimya.

Kwa kweli Lissu anahitaji ulinzi sana,kama serikali imetengeneza mazingira yote ya kutokuaminika Lissu anarudi vipi kijingajinga.

Lissu anaendelea kutafuta Ulinzi na ni jambo jema na la msingi. Acha wanaojua HAKI ZA BINADAMU WATUSAIDIE ...SISI SIO KISIWA DUNIA INAONA.
 
Kwenye mpira tunaita kubanwa kona zote yaani mashambulizi ni Left, Right and Centre. Kweli hapa duniani huwezi kutawala utakavyo...utabananishwa tu utake usitake.
 
Ndugu zangu,

Imekuwa sasa mazoea mara kwa mara Lissu akiongea au akiandika hutoa lalamiko ya kwamba ''nimevuliwa ubunge'', ''spika kazuia nisilipwe mshahara wangu''. Ikumbukwe ni Tundu Lissu mwenyewe aliyesema kupitia vyombo ya habari huko ughaibuni kuwa ''sasa hivi nimepona'' na wakati huo huo badala ya kurudi ili awatumikie wananchi akaendelea kuranda randa huku akitoa povu sehemu mbalimbali. Kwanini anataka kuendelea kulipwa huku hafanyi kazi?

Ni haki kulipwa bila kufanya kazi? Tundu toa jibu la swali hili.
 
na vipi unaonaje tuanze na Kangi Lugola kwanza
 
Informer,
Nilikuwa mitaa ya Ulyampiti na kusikia kuwa jamaa wamekumwagia njugu, nilijisikia vibaya sana. Nikasogea mpaka mitaa ya Ikungi, nikakuta mji umezizima kwa hofu ya uhai wako.

Alhamdullillah, ume-survive.

Get up stand up, stand up for you rights-Hayati Bob Marley
 
Mkishindwa uchaguzi msije kulaumu kwamba mmeibiwa kura maana kwa maigizo hamjambo
Uchaguzi upi uliokusudia kama ni huu wakuwaondoa wa gombea kabla ya siku na mukatoa vioja kama hawajui kujaza fomu basi mutashinda lkn kama mutaweka uchaguzi wa haki na huru na mukaweka tume huru mukishinda mm njoo unikate kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI nimeamini kuna ujinga mwingine ni wa kulogwa,bunge la Tanzania ni mwanachama wa IPU na IPU ni shirikisho linalotambuliwa na UN. Ngoja nikufafanulie kwa mfano wa kariba yako, Ni sawa na mwajili wako asipo kutendea haki ukamshitaki CMA, Kisha akakataa wito au akakubali wito mkasikilizwa halafu akakataa maamuzi. Nini kinatokea? Kama hujaelewa mpaka hapo we km

MKuu hiyo CMA ungemfafanulia pia
 
assa von micky,
Si unaona wengine wanasem amwachie Mungu?yaani watz tumelelewa km loser vile kila kitu unaogopa .hofu na woga ndo maisha yetu mwingine kasema oh atawap nn watoto wake urithi..shenzy kbs!lisu pambane haki ionekane kutendeka hata km itachelewa!

Nadhan kale kamsemo ka bible kuwa
kila kitu Mwachie Mungu tumekachukulia sio kbs ..!
 
Kwenye mpira tunaita kubanwa kona zote yaani mashambulizi ni Left, Right and Centre. Kweli hapa duniani huwezi kutawala utakavyo...utabananishwa tu utake usitake.
hahhahaha...mashambulizi ya aina zote
 
Hapo spika Job Ndugai ameachiwa zigo zito katika masuala ya kusikitisha yaliyomkumba Mh. Tundu Lissu na pia matamshi / kauli za wabunge wa CCM kina Bulembo na wenzake ktk kikao kinachoendelea Dodoma hivi sasa.

Hawa maCCM wanasahau serikali ya Tanzania imesaini mikataba mingi ya kimataifa inayowabana na pia kuwataka waizingatie na kuwajibika.

Spika anapopewa ushauri mhimili wa Bunge uwe huru, maana yake ilikuwa wanamsaidia akiepuke kikombe hiki cha siki. Lakini hakutaka kusikia sauti zenye hekima.

Sasa Spika atakuwa peke yake na kila mmoja atabeba mzigo wake mwenye siku ya siku ICC The Hague wakimuhitaji kama Gavana wa Dar es Salaam ambavyo serikali inaburuta na kukaa kimya kama vile katazo hawajalisikia au kuliona ktk mitandao.
Tembelea Kongwa MKuu, alafu ndo utaona kwa nn Kongwa boy yuko vile. Kuna vitu huishi nasi kwa sababu ni sehemu ya mazingira yetu
 
Back
Top Bottom