mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Lumumba mnawaza ubunge tu, hamfikirii uhai wa mtu! Haki zake za msingi!Eti IPU
Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?
Ungemshauri arudi ili auwawe mumzike sio?huo ndiyo ushauri unaompa mtu ambaye serikali inatuhumiwa kumdhuru?Tulia saa imefika dicte-ta kugeuzwa upside down
na vipi unaonaje tuanze na Kangi Lugola kwanzaNdugu zangu,
Imekuwa sasa mazoea mara kwa mara Lissu akiongea au akiandika hutoa lalamiko ya kwamba ''nimevuliwa ubunge'', ''spika kazuia nisilipwe mshahara wangu''. Ikumbukwe ni Tundu Lissu mwenyewe aliyesema kupitia vyombo ya habari huko ughaibuni kuwa ''sasa hivi nimepona'' na wakati huo huo badala ya kurudi ili awatumikie wananchi akaendelea kuranda randa huku akitoa povu sehemu mbalimbali. Kwanini anataka kuendelea kulipwa huku hafanyi kazi?
Ni haki kulipwa bila kufanya kazi? Tundu toa jibu la swali hili.
Uchaguzi upi uliokusudia kama ni huu wakuwaondoa wa gombea kabla ya siku na mukatoa vioja kama hawajui kujaza fomu basi mutashinda lkn kama mutaweka uchaguzi wa haki na huru na mukaweka tume huru mukishinda mm njoo unikate kichwaMkishindwa uchaguzi msije kulaumu kwamba mmeibiwa kura maana kwa maigizo hamjambo
MI nimeamini kuna ujinga mwingine ni wa kulogwa,bunge la Tanzania ni mwanachama wa IPU na IPU ni shirikisho linalotambuliwa na UN. Ngoja nikufafanulie kwa mfano wa kariba yako, Ni sawa na mwajili wako asipo kutendea haki ukamshitaki CMA, Kisha akakataa wito au akakubali wito mkasikilizwa halafu akakataa maamuzi. Nini kinatokea? Kama hujaelewa mpaka hapo we km
Kama makondo anavo wanyima watu kwa kutoa uhai waoChadema inarusha miguu ya mwisho kama kondoo anyechinjwa hayupo wa kuwasikiliza tena
hana haja na Ubunge kwani wakati huo atakuwa raisi wakoKweli mfa maji haishi kutapatapa.
Ushauri tu Lissu: Kama bado unautaka ubunge muda wa miezi kadhaa tu umebaki, gombea tena sio kulialia tu!
hahhahaha...mashambulizi ya aina zoteKwenye mpira tunaita kubanwa kona zote yaani mashambulizi ni Left, Right and Centre. Kweli hapa duniani huwezi kutawala utakavyo...utabananishwa tu utake usitake.
Tembelea Kongwa MKuu, alafu ndo utaona kwa nn Kongwa boy yuko vile. Kuna vitu huishi nasi kwa sababu ni sehemu ya mazingira yetuHapo spika Job Ndugai ameachiwa zigo zito katika masuala ya kusikitisha yaliyomkumba Mh. Tundu Lissu na pia matamshi / kauli za wabunge wa CCM kina Bulembo na wenzake ktk kikao kinachoendelea Dodoma hivi sasa.
Hawa maCCM wanasahau serikali ya Tanzania imesaini mikataba mingi ya kimataifa inayowabana na pia kuwataka waizingatie na kuwajibika.
Spika anapopewa ushauri mhimili wa Bunge uwe huru, maana yake ilikuwa wanamsaidia akiepuke kikombe hiki cha siki. Lakini hakutaka kusikia sauti zenye hekima.
Sasa Spika atakuwa peke yake na kila mmoja atabeba mzigo wake mwenye siku ya siku ICC The Hague wakimuhitaji kama Gavana wa Dar es Salaam ambavyo serikali inaburuta na kukaa kimya kama vile katazo hawajalisikia au kuliona ktk mitandao.