Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa burigi-chattleWatanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
Enzi za utumwa kuna watumwa waliokubali kuzikwa hai pembeni ya maiti ya Chifu , hivyo hautakuwa wa kwanzaWatanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
Tulionya mapema sana kwamba , hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda MunguMungu ni mwema umemponyesha Tundu Lissu muda muafaka wa uchaguzi.
Yeye aje tu kuendelea na kesi zake sheria ni msumeno na sheria haina hurumaDu hueleweki,yaani wewe unajifanya yote uliyosoma hujaelewa.Yeye kupitia huko kote sio kwa bahati mbaya.Kuna sababu maalum na zimeanza kuonekana.Subiri soon utaelewa na utaona matokeo.
Chadema inarusha miguu ya mwisho kama kondoo anyechinjwa hayupo wa kuwasikiliza tenaNdugai na magufuli Tanzania haitawasahau kamwe
Jiwe huko lilipo tayari limeshafungwa pampers maana mambo yanatoka yenyewe bila yee kujua.Mambo ndiyo kwanza yanaanza ‘Aluta Continue’.
Kama kawaida yenu kujamba...Eti IPU
Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?
Mungu hakukosea kuweka Mauti, laiti kifo kingekuwa hakipo, kuna watu wangejipa uMungu.
Hakuna kurudi nyuma, mdogo mdogo tutafika tu.
Pambana kiongozi wangu.
Dunia na Historia yake ni ya ajabu sana.Namhurumia sana Tundu Lisu washauri wake si wazuri mwenzao ni mgonjwa wanamshauri vibaya sana. Anasahau kwamba Tanzania ni nchi huru yenye watu millioni 60+ anasahau kwamba Tanzania ina utawala wa Sheria, kuna mahakama ambayo ndiyo inashughulikia jinai binafsi namhurumia sana angekuwa ndugu yangu wa Karibu ningemuangukia miguuni nikimsihi arudi Tanzania aachane na Mambo ambayo kimsingi Mungu ndiye hupanga kwa mfano kuwa Rais wa nchi huwa ni mipango ya mwenyezi Mungu Tundu Lisu ni masikini asiye na cha kuwaachia watoto wake hata baada ya mauti kumkuta kitu pekee ambacho angeweza kuwaachia watoto wake ni Elimu bora na maadili ya kutii mamlaka za Duniani anayoyafanya Lisu kwa kweli yanasikitisha sana nadhani ashukuru tu kwamba anafanya haya kwenye nchi yenye Rais wenye huruma. Sidhani kama kuna kiongozi yeyote Duniani anaweza kubali nchi yake kuchezewa kiasi hiki